Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Sema afrika sio bongo tuuIla wabongo tunapenda sana kelele.
Mf. Huwezi kuta bar hawapigi mziki mkubwa.
Huwezi kuta watu wakiangalia mpira bila kubishana.
Kila mara wanataka muongee ongee tu.
Kwenye dala dala kelele,
Maofisini kelele.
Masokoni ni makelele kila mahali.
Kiufupi bongo hakuna utaratibu wa lolote huwa tunajiendea tu.
Ukitaka kujua tupo disorganised mno, toka nje ya nchi halafu urudi utasikitika namna tunavyoishi.
Ila hivyo hivyo maisha yanakwenda.