matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #41
😂😂Masikini akinunua sub woofer ya 120,000/ mtahama mtaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Masikini akinunua sub woofer ya 120,000/ mtahama mtaa
nani debe hapaDebe tupu haliachi kuvuma,wahenga walinena.
🤣🤣🤣🤣🤣Ukishii mbezi beach na Masaki hata singeli huzisikii ....
Sogea Mbagala...zinaanzia stendi ..full makelel
Umasikinini mkuunani debe hapa
Kumbe hawana kelele kwa sababu ya uchache wa idadi.Hakuna correlation at all..., Kwanza kabisa Utajiri na Umasikini sijui una-ugawa vipi hapo labda cha kusema ongelea class differences (matabaka) sasa sababu matabaka ya sasa ni ya wenyenacho (wachache sana) na Wasionacho (wengi sana) utaona kwamba watu wa kati wanazidi kupungua..., hence sababu huku wapo wengi unaweza kuona wana kelele wakati kule wapo wachache; Hence ukiona malls za huku wanaokwenda ni wenye kipato kikubwa (wachache) wakati kwenye bargains wanakwenda wengi...
Watu wanakosea sana kujumuisha kila kitu na umasikini wakati huenda some of great and humble people down to earth ni wenye kipato cha kawaida sio kwamba hawawezi kupata kingi bali wameridhika
Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu
Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...www.jamiiforums.com
Ongezea na tv ama redio za bank huwa zinalia ama kupiga mziki taratibu Mana pesa hazipendi kelele. Hata shuleni wale waliokuwa wanafaulu mno walikuwa watulivu wataratibu wengi wao statically,Mara nyingi mahala ambapo kuna Pesa au watu wamefanikiwa huwa kuna utulivu.
Masoko ya matajiri (supermarkets na Malls) huwa ni patulivu kuliko uswahili masoko yetu.
Wanapokaa matajiri (masaki, Oysterbay, Kapripoint (mwanza) ) huwa ni patulivu kuliko kwetu uswahilini.
Maskini huwa wanakelele nyingi sana, maneno maneno hata ukifika kwenye duka au ofisi kubwa utamjua tajiri kwa utulivu. Mfano yule jamaa anayepiga promo ya magari (Doi Macehicle) na Bosi wake Issa.
Mtu yeyote akiwa hajatoboa huwa anakelele kelele ila akizipata unaona anapoa anakuwa mkinya hakurupuki.
Siasa za nchi masikini zinakelele nyingi balaa, ila kwa matajiri zinaenda softly tu kimyakimya.
Hii ni dunia nzima.
Wakuu kuna uhusiano gani kati ya Pesa/Mali umasikini na kelele.
Daaa!!Masikini ana amani muda wote,
Kesho yake huwa inajisumbukia yenyewe.
Hana kazi na hana hofu.
Anamuda wa kutosha kufurahia Dunia.
Masikini hafirisiki!
Naona kuna uhusiano wa utulivu na kufocus. Kelele na distractions.Ongezea na tv ama redio za bank huwa zinalia ama kupiga mziki taratibu Mana pesa hazipendi kelele. Hata shuleni wale waliokuwa wanafaulu mno walikuwa watulivu wataratibu wengi wao statically,
Kipindi inakataa wewe ulikuwepo?hela huwa haitaki kelele.
Hahhahaaa 😂😂😂Sh 100/= ya sarafu na sh 10,000/= ipi Ina thamani na ipi inapiga kelele zikidondoshwa chini?