Kuna uhusiano gani kati ya Pesa, Umasikini na kelele

Hakuna correlation at all..., Kwanza kabisa Utajiri na Umasikini sijui una-ugawa vipi hapo labda cha kusema ongelea class differences (matabaka) sasa sababu matabaka ya sasa ni ya wenyenacho (wachache sana) na Wasionacho (wengi sana) utaona kwamba watu wa kati wanazidi kupungua..., hence sababu huku wapo wengi unaweza kuona wana kelele wakati kule wapo wachache; Hence ukiona malls za huku wanaokwenda ni wenye kipato kikubwa (wachache) wakati kwenye bargains wanakwenda wengi...

Watu wanakosea sana kujumuisha kila kitu na umasikini wakati huenda some of great and humble people down to earth ni wenye kipato cha kawaida sio kwamba hawawezi kupata kingi bali wameridhika

 
Masikini ana amani muda wote,
Kesho yake huwa inajisumbukia yenyewe.
Hana kazi na hana hofu.
Anamuda wa kutosha kufurahia Dunia.
Masikini hafirisiki!
 
Kumbe hawana kelele kwa sababu ya uchache wa idadi.

Ila asante kwa mchango bora
 
Ongezea na tv ama redio za bank huwa zinalia ama kupiga mziki taratibu Mana pesa hazipendi kelele. Hata shuleni wale waliokuwa wanafaulu mno walikuwa watulivu wataratibu wengi wao statically,
 
Ongezea na tv ama redio za bank huwa zinalia ama kupiga mziki taratibu Mana pesa hazipendi kelele. Hata shuleni wale waliokuwa wanafaulu mno walikuwa watulivu wataratibu wengi wao statically,
Naona kuna uhusiano wa utulivu na kufocus. Kelele na distractions.
 
Maskini hata akijitutumua akakae katikati ya matajiri, Utasikia huyu atatusumbua atatupigia kelele hapa mtaani, wanakununua, ili uhame uwapishe.
 
Ushawahi ona wapi pesa inataka kelele ndo maana hata benki hamna mziki πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pesa ina Deal na mantiki to MA inajitetea yenyewe ,ukiwa masikini utahitaji ujieleze Sana ili ueleweke
 
Pesa ina Deal na mantiki to MA inajitetea yenyewe ,ukiwa masikini utahitaji ujieleze Sana ili ueleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…