Kuna uhusiano gani wa CC za gari na ulaji mafuta?



KUMBUKA.

Rangi nyekundu = Matusi unayataka wewe. Swala la uelewa mdogo usiseme


ILA NIMEKUELEWA NDUGU YANGU
 
Kuna aina 3 za petrol ambazo n 1. Unleaded 2. Super 3. Premium
Mkuu hili ndio tatzo la magar mengi kukosa nguvu(Power loss). Kwa mfano gari aina ya Hyundai Tucson Toyota Rav 4 na Nissan Navara zote za petrol. Hzi gar nyng znataka super lakn ukiweka unleaded au premium ndio mwanzo la tatzo la kukosa gari nguvu.
 
Narudia tena kwa msisitizo DIESEL ENGINE IS MORE POWERFULL THAN PETROL ENGINE...... Kama unabisha andamana
 
Ngoja nikujibu kidogo

Kinachotakiwa kutoka kwenye mafuta ni pressure (tupo pamoja hapo?)

Mafuta yanapounguzwa joto huongezeka na kama unavojua tabia ya hewa huwa ikipata joto huwa inakatabia kakuexpand(power stroke) ..


Hyo hewa itakayoexpand ni lazima itatafuta mahala pakutokea, cylinder inakua ipo closed sehem zote (valve closed creating closed system) kama sehem zote zipo closed basi itatafuta sehem ambayo ni dhaifu ili iwezekutoka, hapo ndo unakuta piston inasukumwa ili hyo hewa iweze kupata nafas ama kutoka (displacement?).

Mpaka kufikia hapo utagundua kua pressure inayozalishwa na petrol ni tofauti na pressure ya diesel

Hilo linakuja kugunduliwa endapo engine itapewa mzigo (load).

Engine ikipewa mzigo, mzigo huo unaenda kuongeza ugumu wa piston kusukumwa na pressure inayozalishwa na mafuta

Petrol hutoa pressure amabayo haiko powerful ukilinganisha na ya diesel pia diesel haiko poweful ukilinganisha na engine zinazotumia heavy fuel oil


Na hyo ndio sababu hukuti lori linatumia petrol engine kama ipo basi itakua na cylinder nyingi sana jambo ambalo kiuchumi halina mashiko

Ahsante nimemaliza
 
buzitata ni hivi sabbu ya kutumia diesel kwa gari kubwa au gari za kazi ni tabia ya injin ya diesel ku produce a lot of twisting force at lower rpm ndo mana ha ha ha kuwa mpole usiamini unachoamini
 
buzitata ni hivi sabbu ya kutumia diesel kwa gari kubwa au gari za kazi ni tabia ya injin ya diesel ku produce a lot of twisting force at lower rpm ndo mana ha ha ha kuwa mpole usiamini unachoamini
Ahsante mkuu kwa kunielimisha ila mi nlikua naelezea kuhusu tofauti ya nguvu iliyopo kati ya petrol na diesel

Hiyo twistng force at low rpm ni moja ya faida ya matumizi ya diesel
 

Mkuu hapa ngoja nikugawie ujuzi kidogoo..huu uzi nimegain vingi sana
Petrol kawaida huwa ina lead na mara zote baada ya mafuta ghafi(crude oil) kuchakatwa huwa inabaki nyingi tu.Sasa hapo ndiyo unakuja kutreat kwa kupunguza amount of lead kwa kiwango cha chini ambacho kinatakiwa ili kuongeza ufanisi wa petrol kuburn na kuproduce energy.Hadi hapo utakuwa umeanza pata picha kidogo kuhusu Leaded & unleaded petrol...moja inakuwa ina High lead content(leaded) na unleaded inakuwa na low lead content.Sasa kuna issue ya engine ku-knock...(Engine knocking/pinging)...Hii inatokana na improper burning of fuel kupelekea auto ignition ya fuel ambapo ndo unakuta engine inakuwa inakuwa inatoa mlio flan wa ajabu..(kugongagonga ndani ya cylinder).Sasa moja ya njia waliyokuja kutumia ili kuovercome hili tatizo ni ku-blend tetraethyl lead kwenye Leaded pertol ili kuongeza octane number.Octane number is the measure perfomance of an engine(petroleum engine)..the higher octane number ther more the fuel can withstand compression from piston and better perfomance ya engine kutokana na kwamba (air &fuel) vina be compressed kwa pamoja...inasaidia kuavoid hiyo pre ignition ambayo haikutarajiwa (engine knocking).Sasa baada ya kugundua kuwa lead ina madhara kwa mazingira pia na kwa viumbe hai wakaamua waanze kublend kwa additives zingine ili ku increase hii octane number ktk petroleum.Katika diesel ni opposite kidogo wanaincrease cetane number na si Octane number.The higher cetane number in diesel the shorter ignition delay...
Summary:

1.Leaded petrol contains high amount of lead additives while unleaded petrol doesn’t.
2.Pia Leaded petrol creates more pollution than unleaded petrol,also leaded petrol poses more of a health risk than unleaded petrol.
4.Unleaded petrol is available for public consumption while leaded petrol is banned(au wanaingiza kwa kiwango kidogo)
5.Premium/super unleaded-haya yanakuwa masafi zaidi kwa upande wa octane number...ni higher octane fuels ambazo huburn vizuri na kupunguza uwezekano wa engine ku-knock
....point to note:Engine knocking inaweza sababishwa na vitu vingi lakini hiyo ya low octane number ktk petrol ni moja ya sababu.Mimi si mtu wa vyuma lakini kutokana na knowledge ya kwenye mafuta nimekupa hiyo ya leaded and unleaded...although kama utakuwa interested naweza kukuelezea kidogo kuhusu octane number (in petroleum) na Cetane number(In diesel)
 
Mkuu nimekumanya.sana, ila mimi nataka kujua uhalisia wa torque lile neno maanake ni nini hasa practically?
 
nakuonaga kwenye hili jukwaa mara nyingi afu torque bado hujui ??? Extrovert

ukiwa unafungua bolt ..bomba nk pale una apply torque ili neno kiswahili sijui ila ni twisting force hata ukiwa unachochea baskel pale una apply torque pia na hcho ukisikia engine ina nguvu haswa zenye low rpm basi jua twsting force pale ndo kubwa kama twisting force ni kidogo basi rpm ndo iko high maana HP ni muunganiko wa hvyo vitu viwili
 
Aisee mimi napenda sana magari na mengi nayafahamu kwa majina isipokuwa physics ya gari ndio siifahamu vizuri hasa ya engine naijua in general ila sio undani sana. Hilo neno torque ndio kabisaaa nilikuwa sielewi ila now nimepata uhalisia wake mkuu, shukrani sana.
Huwa commonly nilijua ni ile nguvu ya matairi kukamata lami wakati gari inaanza kuondoka kwa kasi.
 
physics ya magari na vitu vingne nzuri. sana.....ukiwa unapenda jiulza maswali kichwani afu ukikosa majibu unapita google raha sana ...as mi sikuwa najuaga science behind inayosababisha ile inlet na outlet valve kwenye cylinder kufunga na kufunguka kwa muda sahihi yani nilivokuja kujua niliona ni kitu cha ajabu sana had najiuliza alikuwa anatengeneza hiyo akil alitoa wap yani
 
Mkuu nimekumanya.sana, ila mimi nataka kujua uhalisia wa torque lile neno maanake ni nini hasa practically?
Ni ngumu kukujibu kwa lugha ya kiswahili ila ngoja nijarbu ladba unaweza kunielewa


Ili uelewe maana ya torque inatakiwa ufahamu hivi vitu

1. Rpm
2. Idling speed

Rpm najua utakua unajua kwamba ni ratio kati ya mzunguko kwa dakika

Na idling speed ni speed ya engine ikiwa imewashwa bila kuwekwa gia wala kukanyaga mafuta

Nyuma ya hivo vitu viwili ndo kuna hiyo torque yaani ule mzunguko wenyewe bila kuhusianisha na mambo mengine

Naomba niishie hapo...
 
buzitata kuhusu torque nishamwambia hapo juu ...

then torque haiusiani na muda wala rpm wal sijui idling speed torque is twisting force

kusema idling speed inamaana injin ikivuka hapo torque hamna ??
 
buzitata kuhusu torque nishamwambia hapo juu ...

then torque haiusiani na muda wala rpm wal sijui idling speed torque is twisting force

kusema idling speed inamaana injin ikivuka hapo torque hamna ??
Ahsante ila tambua ukitaka kumueleza mtu kitu ni lazima uanzie sehem ambayo inamfanya mtu aelewe dhana yote kwa ujumla..... Rpm na idling speed vinaweza kutumika kumuelezea mtu akaelewa nini maana ya torque. Ni kama wewe ulivotoa mfano wa kufungua nati...kwani kufungua nati ni torque? Huo ni mfano umeutoa ili mtu apate picha fulani ili aweze kuelewa

Hapo kwenye idling speed tupaache coz tutabishana hadi tutamaliza data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…