nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Serikalini hua tunaingia saa mbili kamili, tunasubiri wafanye usafi mpaka saa tatu. Wakimaliza usafi tunaingia ofisini, tunaweka koti kwenye kiti na begi, then tunaenda kwenye chai. Tunarudi saa tano na nusu kucheki kama kuna lolote then tunatoka saa sita kamili kwenda lunch mpaka saa nane. Nane na nusu tunarudi ofisini kufunga funga, tisa kamili tunatoka.Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
Ndio uweke ushahidi, kuna jamaa kaniambia wakishaseti Mitambo kitu wanachofanya huwa ni kuangalia tu (Monitoring) na kufanya maintance mara chacheWeeee! Jidanganye na ujichanganye mdogo wangu.
Ni kwa moto naweza kukupa na mifano
Wewe kazi ya monitoring na maintanance unaiona ndogo?Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
USipende sana mambo ya Nasikia this, nasikia thatMfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
Systems ni term ya ujumla. Ukubwa wa kazi ya za systems administrator hutegemea na system mahususi anayoisimamia, maana inaweza ikawa inatoa huduma kwa watu wengi au wachache.Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
Ila cku mfumo ukikorofisha nasikia mnashindwa kurekebisha hadi wakorea waingilie katiSerikalini hua tunaingia saa mbili kamili, tunasubiri wafanye usafi mpaka saa tatu. Wakimaliza usafi tunaingia ofisini, tunaweka koti kwenye kiti na begi, then tunaenda kwenye chai. Tunarudi saa tano na nusu kucheki kama kuna lolote then tunatoka saa sita kamili kwenda lunch mpaka saa nane. Nane na nusu tunarudi ofisini kufunga funga, tisa kamili tunatoka.
Halafu huwa mnajipimia speed kubwa sana ya internet πSerikalini hua tunaingia saa mbili kamili, tunasubiri wafanye usafi mpaka saa tatu. Wakimaliza usafi tunaingia ofisini, tunaweka koti kwenye kiti na begi, then tunaenda kwenye chai. Tunarudi saa tano na nusu kucheki kama kuna lolote then tunatoka saa sita kamili kwenda lunch mpaka saa nane. Nane na nusu tunarudi ofisini kufunga funga, tisa kamili tunatoka.
Inategemea na serikal branch gani, shirika gani.Ndio uweke ushahidi, kuna jamaa kaniambia wakishaseti Mitambo kitu wanachofanya huwa ni kuangalia tu (Monitoring) na kufanya maintance mara chache
Achana na wale IT ambao huwa tunawaita kila mara watusetie mausi, watuwashie printer, n.k.
πππSerikalini hua tunaingia saa mbili kamili, tunasubiri wafanye usafi mpaka saa tatu. Wakimaliza usafi tunaingia ofisini, tunaweka koti kwenye kiti na begi, then tunaenda kwenye chai. Tunarudi saa tano na nusu kucheki kama kuna lolote then tunatoka saa sita kamili kwenda lunch mpaka saa nane. Nane na nusu tunarudi ofisini kufunga funga, tisa kamili tunatoka.
CONFIGURATION UNAITA CONSULTANTBinafsi naingia kazini moja kamili, natest upatikanaji wa mawasiliano (server room), km Kuna changamoto nafix chap, then nasubiri staffs wengine waingie Kwa ofisi zao nazunguka kuona km printer/scanner na internet/network Iko okay. Mpaka kufikia saa nne au tano nakuwa nishamaliza kazi nasepa naenda hospital au kituo Cha afya Cha karibu nazuga kuchek connections za mifumo yao then by saa sita nasepa kitaa kuendelea na utawala binafsi.
Nimecheka kifala sanaSerikalini hua tunaingia saa mbili kamili, tunasubiri wafanye usafi mpaka saa tatu. Wakimaliza usafi tunaingia ofisini, tunaweka koti kwenye kiti na begi, then tunaenda kwenye chai. Tunarudi saa tano na nusu kucheki kama kuna lolote then tunatoka saa sita kamili kwenda lunch mpaka saa nane.
Baada ya kundoka ofisini tunapita Bup tuanapiga moja moto moja baridi na kiti moto.. saa tatu, nne usiku tunarudi nyumbani kulala.......kesho tena kama jana..Nane na nusu tunarudi ofisini kufunga funga, tisa kamili tunatoka.
Ndio maisha yetu mkuu sasa tufanyeje? Na kuna mda hatuingii kabisa ofisini tunaacha koti kwenye kiti hata wiki, akija kiongozi au mtu kuulizia unaambiwa jamaa katoka kidogo anarudi.Daah...Nimecheka kifala sana
Huyo kazi yake ni kulamba makanyagio ya wajumbe wa CCmTumuulize lucas mwashambwa