Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
HAhahahahah....Ndio maisha yetu mkuu sasa tufanyeje? Na kuna mda hatuingii kabisa ofisini tunaacha koti kwenye kiti hata wiki, akija kiongozi au mtu kuulizia unaambiwa jamaa katoka kidogo anarudi.
Ulivyo mpumbavu bila ht haya unafikiria kazi za uvivu, kwa huo uvivu hiyo IT hautaweza kuisomaMfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda sawa, mfumo mzima umeshasetiwa unajiendesha.
Siku ambayo kazi inakuwa ngumu sana ni pale ambapo mtandao umeharibika, hakuna huduma kwa watumiaji, server zimekorofisha, wadukuaji wameingia kwenye mfumo, au kuna virusi. Hapo ni kazi ngumu sana, na inakuwa hakuna kupumzika kwa sababu kila kitu kinahitaji kutatuliwa haraka.
Kumaintain ni rahisi maana kazi zote zimeshasetiwa zifanywe kwenye server, ni kuangalia kama zinaenda kama zilivyopangiliwaBado Wana kazi kubwa ku maintain network ya taasisi siyo jambo dogo
IT wa wapi hao wanasoma sana, Bongo ? 😂Sio kweli.
IT huwa wanashiriki vikao mbalimbali iwe ni administration, operations, n.k
Pia kuna seminars na training,
Pia wanasoma sana technology inabalibalika na siku hizi kila mahali Kuna technology iwe ni mfumo, network, n.k.
Kusema hawafanyi kazi na kila siku wewe unafanya kazi zako zote kupitia miundo mbinu ya IT.
Iwe ni malipo ya fedha, inventory, database, n.k.
Mfano mfumo ukizingua ofisi nzima inakuwa hamna cha kufanya zaidi ya IT yeye ndio ana-run ofisi nzima na kujua jinsi mfumo unafanya kazi, LAN ilivyo hiyo siyo kitu cha siku moja au mbili, kuleta tu mtu yoyote tu aguseguse,
Hivyo IT ni critical person kwenye ofisi anabeba past and future nzima ya ofisi..
Tafuta job description zao ?
jaribu kulipia mtu awe anacheki kukiwa na tatizo tu au uajiri IT ipi ghali?
Shida yako inaonekana una roho ya kwaniniIT wa wapi hao wanasoma sana, Bongo ? 😂
Maofisini kwenyewe hadi leo kuna windows 7, shangaa !
Mfumo ukizingua huwa hapalaliki lakini mfumo ukirudi huwa ni kuuangalia na maintanance kidogo
Technical errors ni nyingi na zinahitaji mudaKumaintain ni rahisi maana kazi zote zimeshasetiwa zifanywe kwenye server, ni kuangalia kama zinaenda kama zilivyopangiliwa
Wanafanya nini mbona mifumo yenu inasumbua sana sasa ?Weeee! Jidanganye na ujichanganye mdogo wangu.
Ni kwa moto naweza kukupa na mifano
Consultant analipwa na nani? Kama analipwa na serikali basi ujue huo ni utaratibu rasmi, maana serikali haiwezi kulipa hela zisizokuwa supported na maelezo rasmiCONFIGURATION UNAITA CONSULTANT
Huko ulikisikia ungeuliza pia, Je, system ikiwa na matatizo? Ukisikia uje uongezee nyama kwenye uzi wakoMfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring),
Kwamba administrator wa GePG, Tanesco, TRA, etc huyo ndiyo anakula shushu!!Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri.
Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda sawa, mfumo mzima umeshasetiwa unajiendesha.
Siku ambayo kazi inakuwa ngumu sana ni pale ambapo mtandao umeharibika, hakuna huduma kwa watumiaji, server zimekorofisha, wadukuaji wameingia kwenye mfumo, au kuna virusi. Hapo ni kazi ngumu sana, na inakuwa hakuna kupumzika kwa sababu kila kitu kinahitaji kutatuliwa haraka.