Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Ushoga kivipi tena, mbona naanza kuogopa
 
Asante kwa kuniunga mkono mkuu. Unajua haya mambo tusipoyakemea kwa sauti kubwa yatendelea kufanyika chini ya zulia huku watoto wetu wakizidi kuharibiwa na maafande bila sababu ya msingi. Serikali inapaswa ilitazame tatizo hili kwa jicho la kipekee.
JKT waende wale wanaotakaa, yaan kabla ya mtihani wa 4m 6 wanafunzi wanaotaka kwenda jeshi ndo wajaze majina yao.

Kuliko kuteua holelaaa
 
Sio siri kule kuna hii michezo, wengine ndo wanaanzia kulee usenge na u basha, wakirudi mtaani wanaendeleza wakiwa vyuoni.
@JKT Tanzania

Huyu anachafua jeshi, naamini kabisa jeshi litachukua hatua. Siamini hata kidogo jeshi linaweza kukaa kimya
 
Acha kuchongea wenzio wewe mwanaume wa wapi?!!
Huyo cocastic anapaswa kuwa sehemu salama, huwezi kuchafua jeshi hivi hivi tunashuhudia. Jeshi lina heshima yake na hadhi yake. Taswira ya jeshi inapaswa kulindwa

Cocastic hana maana hata kidogo, ana mdomo mchafu sana.

Cocastic umeyakanyagaa
 
Halafu wewe utapata faida gani? Kalichafua wapi?! Wakati yeye anaelezea changamoto zilizopo huko kambini! Huoni km analisaidia jeshi kubaini vitendo viovu vinavyotokea huko na wazazi wawape watoto tahadhali ya mambo yanayotokea ili wawe makini?!!

Kuwa mwanaume bhana sio kila kitu cha kupinga, mbona wengi wameongelea hiyo issue
 
Kuna namna nyingi ya kulishauri jeshi, cocastic hajatoa ushauri bali analichafua.

Unasema mimi napata faida gani? Je yeye anapata faida gani kuchafua jeshi?
Hivi sio vitu vya kuleta masihara wala utani, cocastic anapaswa kuelewa kuwa utani na masihara yaishie kwenye vitu vingine sio jeshi.

Anapaswa kuomba radhi na kufuta hizo comments zake. Huo ndio ushauri wangu
 
Unajua coca amesema alienda na alishuudia hivyo vitendo na member wengine tena wanaume wenzio nao wamesema hivyo vitendo vipo na vinafanyika. Kwanini na wao usiwaambie wafute?

Km unataka kukemea uovu usichague upande mmoja
 
Huyo cocastic kuchafua watu ndio tabia yake, sio mara ya kwanza. Ana hii tabia huku jf kwa muda mrefu sana, Kuna watu anawadhalilisha bila sababu za msingi

Hao unaosema mimi sijawahi kuwaona wakimdhalilisha mtu humu. Cocastic anapaswa kufungwa break, naamini kwenye hili la jeshi kuna kitu atajifunza.

Jeshi ni taswira ya nchi.
 
Huyo cocastic anapaswa kuwa sehemu salama, huwezi kuchafua jeshi hivi hivi tunashuhudia. Jeshi lina heshima yake na hadhi yake. Taswira ya jeshi inapaswa kulindwa

Cocastic hana maana hata kidogo, ana mdomo mchafu sana.

Cocastic umeyakanyagaa
Nikson Saimon una mkwala
 
Kijana acha janjajanja ,nenda JKT
 
JKT waende wale wanaotakaa, yaan kabla ya mtihani wa 4m 6 wanafunzi wanaotaka kwenda jeshi ndo wajaze majina yao.

Kuliko kuteua holelaaa
Kweli kabisa mkuu. Kuwalazimisha watoto wote kwenda JKT ni ussennge. Afu watoto wa kike wakifika huko wanageuzwa wake za maafande wanawambukiza UKIMWI huku watoto wa kiume wakigeuzwa kuwa MASHOGA. Hatutaki kutuharibia watoto kwa lazima.
 
Wewe umesha enda ?? Unipe detail
 
Wameshaanza kuomba pesa za kununulia simu, acha waende wakajifunze maisha sio kunenepeana na kujaza mashavu bila sababu, ngoja waende wakajifunze hata kutumia mabumu yao watakapoanza vyuo
Wa kiume sawa! Wa kike unaona sawa pia akienda?.
 
Kwa hiyo wewe unafikiri elimu ya darasani inatosha kwenye kumwendeleza kijana? Elimu ni zaidi ya makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…