Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Huu uzi wa simba wakijadili usajiri..safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku mkipata nafasi ya kumuuliza jaribu tena..uliza swali hili eti mwenyekiti yule wakala wa kutoka DRC ulimlipa hela zake ? Na yule wakala mwingine toka Anayeishi Morocco 🇲🇦 alilipwa ..akikujibu utaniambiaAsante shabiki unayejitambua. Juzi kuna Mtu kakurupuka kaweka Uzi wake humu akiwa hajui haya yote. Pale Simba pale! Kuna shida si kidogo. Kuna michongo na mitikasi mpaka Wachezaji wanajiona hawafai wanajiondoa. Nachelea kusema hata issue ya Ulevi inawezekana ilitokana na kunyimwa 10%. Sina shida Mangungu maana na yeye ni ceremonial figure. Tatizo la Simba linaanzia Kwa Jaribu Tena. Huyu usipomnyenyekea uwanjani utapasikia tu. Naongea Kwa ushahidi nilionao Kwa issue ya Kakolanya alipoumia Manula. Saidoo mtaendelea kuwa naye mwakani labda muitishe Uchaguzi upya mwaka huu.
Ushauri wangu ukikutana na Mr Jaribu tena mwambie yule wakala wa drc na yule wa Morocco vipi kamalizana nao ?Sidhani kama kuna sehemu nimesema Kramo hajui kama anaumwa au amepona.
Nimesema hajui kama jina lake limeondolewa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba walio hai katika mashindano.
Wengi mpaka dakika hii wanaamini Kramo yupo kwenye usajili wa CAF hata mchangiaji hapo juu anaamini hivyo, wewe unaamini hivyo pia?
Sitajisumbua kumuuliza maana najua nitafukuzwa kama Mbwa. Jaribu Tena ni kirusi kisicho na tiba Simba.Siku mkipata nafasi ya kumuuliza jaribu tena..uliza swali hili eti mwenyekiti yule wakala wa kutoka DRC ulimlipa hela zake ? Na yule wakala mwingine toka Anayeishi Morocco [emoji1173] alilipwa ..akikujibu utaniambia
Hahahahaha ..huo ugomvi wake si wa nchi hii..Jaribu ndio kirusi pale Simba..yeye ndio kawapoteza mawakala wakubwa walioanza kufanya kazi na simba toka enzi za Babra na Hans pope..Sitajisumbua kumuuliza maana najua nitafukuzwa kama Mbwa. Jaribu Tena ni kirusi kisicho na tiba Simba.
Muda wote mngekuwa mnajikita zaidi kwenye kujadili yale mazuri na pia mapungufu yote ya timu yenu, kama ulivyofanya hapa! Sidhani kama kuna mtu angewaita nyinyi ni mbumbumbu.Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale walio bora hadi wale ambao wanaonekana mchango wao umepungua mno na wanaigharimu timu. Imefika wakati unashangaa wachezaji walio bora wanapewa huduma mbovu ndani ya timu hadi kuachwa katika mazingira ya kutatanisha, halafu wale ambao viwango vyao vinatia mashaka ndiyo tunaaminishwa ndiyo tegemeo la timu.
Juzi nilikuwa naangalia video moja wakati Simba inakwenda Zanzibar, ukimsiklliza interview ya Aubin Kramo haupati picha kama ni mtu aliye na taarifa kuwa si tena sehemu ya kikosi cha Simba msimu huu. Ukimsikiliza Ahmed Ally anasema jina la Kramo liliondolewa ila anaendelea kulipwa stahiki zake zote. Kama kuna mtu anabisha, mtu ajitokeze amuulize swali hili moja kwa moja Kramo mwenyewe kama anajua kuwa jina lake limeondolewa. Kama anasema anajua natoa 100,000 kwa mwandishi yoyote atakayepewa jibu hilo. Kwa mtazamo wangu Kramo alishapona ila kuna watu wamemkazia ili kulinda wachezaji wao. Majeraha ya Kramo hayakuwa ya kumkalisha nje muda mrefu kiasi hiki.
Huyu ni mchezaji mwingine ambaye msimu ukiisha ataachwa katika mazingira ya kutatanisha halafu ukamkuta upande wa pili anakiwasha. Hii ni story inayojirudia ya Moses Phiri, tulikuwa tunaambiwa hajapona hajapona, mara amepona ila ni maamuzi ya mwalimu kumtumia, mwisho wa siku mchezaji mwenyewe anaona huu ni upuuzi anaonyesha dalili za kutojali maana hata juhudi zake bado hazimpi namba tena, mara anakuja kuachwa. Kuna tatizo kubwa sehemu pale Simba ila hatutaki kulisema.
Kwa kumalizia, kwenye dirisha dogo lililopita kuna mchezaji mwenye sifa ya kuikaba timu ambaye mkataba wake ulikuwa umeisha kulingana na taarifa walizokuwa wametupa hapo kabla ila dirisha dogo likafungwa hatukuambiwa kama ameongezewa mkataba na usishangae mwakani tena tukawa naye huku kina Kramo wakiachwa.
Hakuna timu zinazochangia kwa aslimia kubwa mpira wa Tanzania kama timu hizi mbili.Binafsi niliacha kuzifuatilia hizi timu.
Nilifanya kazi simba NIKAKUTANA NA UOZO KILA KONA.
Simba na yanga ni virusi vya maendeleo ya mpira wa Tanzania.
Hakuna timu zinazochangia kwa aslimia kubwa mpira wa Tanzania kama timu hizi mbili.
Usijitoe ufahamu.
Kwa maneno hayo uliyoandika una uhakika kuwa haupo mentally disabled?Huna akili kabisa kabishane na watoto wenzako
Labda kama ulikua unafanya kazi ya kusajiri line za simuBinafsi niliacha kuzifuatilia hizi timu.
Nilifanya kazi simba NIKAKUTANA NA UOZO KILA KONA.
Simba na yanga ni virusi vya maendeleo ya mpira wa Tanzania.
Hehe ...Labda kama ulikua unafanya kazi ya kusajiri line za simu
Hao wanachama wanajulikana ili watajwe watu wawawjue? Ina mana wao ndio wanapanga timu sasa na kuamua nani acheze nani asichezeSimba inaonekana viongozi Wana wachezaji wao, hata Kakolanya alifanywa kipa wa tatu makusudi ili aondoke.
Wanachama wanaochagua hao viongozi hawana uchungu na timu kabisa.
Hata chumbani kwa mama ako utawapata.Wachezaji wa maana hapo ni wawili tu, wengine hata Tandika utawapata.
Simba walipomleta.kipa mbrazil Kuna mwanachama wa Simba aliniambia yule mchezaji hatadumu mwaka nikambishia akaniambia wewe hujui zile biashara za watu na bado sikuamini mpaka niliposikia mikataba umesitishwa sababu ya majeraha kambini.Hao wanachama wanajulikana ili watajwe watu wawawjue? Ina mana wao ndio wanapanga timu sasa na kuamua nani acheze nani asicheze
Sasa mkuu, wakifanya hivyo au wanaofanya hivyo malengo yao ni nini? Maana ya kuleta wachezaji wabovu mana yake nini? Wapate tu hizo 10%? Hawataki SIMBA ipate mafanikio? Je hawaoni simba kuchukua ubingwa ligikuu na kuingia nusu fainali ni mafanikio hata kwao kupitia hao wachezaji wao wanaowachukulia 10% zao sio kwamba wangekua wanahakikisha simba inapata vikombe vya ubingwa kwanza mana wanapofeli hao wachezaji watakosa motisha na kuondokaSimba walipomleta.kipa mbrazil Kuna mwanachama wa Simba aliniambia yule mchezaji hatadumu mwaka nikambishia akaniambia wewe hujui zile biashara za watu na bado sikuamini mpaka niliposikia mikataba umesitishwa sababu ya majeraha kambini.
Huyo mchezo Simba upo muda mrefu, ndio maana Kuna makocha wazuri wanaonekana hawafai kumbe tunaeawekea wachezaji magumashi.
Hivi klabu ya Simba na ukubwa wake inaweza kusajili mchezaji bila kumpima afya, na lile benchi lote kazi yake ni nini?
Hawana uchungu, wameweka maslahi mbele na hili halikuanza Leo lipo enzi na enzi.Sasa mkuu, wakifanya hivyo au wanaofanya hivyo malengo yao ni nini? Maana ya kuleta wachezaji wabovu mana yake nini? Wapate tu hizo 10%? Hawataki SIMBA ipate mafanikio? Je hawaoni simba kuchukua ubingwa ligikuu na kuingia nusu fainali ni mafanikio hata kwao kupitia hao wachezaji wao wanaowachukulia 10% zao sio kwamba wangekua wanahakikisha simba inapata vikombe vya ubingwa kwanza mana wanapofeli hao wachezaji watakosa motisha na kuondoka
Au ndio hawana uchungu wao hawajali simba ishinde isishinde mtajua wenyewe, wao wachezaj wao akipata mshahara, anatoa 10% anampa mwanachama husika, maisha yanaendelea