Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Braza Mzee wa Jicho la tatu umerudi?Nimekuwa nikiamini Karima is realy
Braza Mzee wa Jicho la tatu umerudi?Nimekuwa nikiamini Karima is realy
Hapo sasa. Kijijini kwetu mtoto alichoma net ya mbu family yote ika-Pass awayMaskini mnaogopa kufa
Ni kweli but kifo hakina mbadalaNi moja ya usafiri hatari wa anga.
Duuh bahati mbaya sanaHapo sasa. Kijijini kwetu mtoto alichoma net ya mbu family yote ika-Pass away
Inasikitisha sana.View attachment 3681512
View attachment 3681513
View attachment 3681514
Chivayo alinunua ndege hio ya gharama kubwa, kumsaidia kuepuka traffic katika jiji la Harare na pia kumsaidia kufika kwenye vikao muhimu katika masuala yake ya kibiashara. Kwa mujibu wa maelezo yake.
Inaitwa Leonardo AW139, ina engines mbili, na inaendeshwa na marubani wawili.
Hio Helicopter kainunua mwaka huu huu 2026 nadhani mwezi May, katika kufuatilia mitandaoni sikupata model ya ndege au ni ndege ya aina gani ambayo amepata nayo ajali, katika kupita huku na kule ndipo nimegundua alinunua hio ndege ya kifahari aina ya Leonardo AW139.
Ni ndege ya gharama ,luxury na inatumiwa na watu maarufu, gharama aliyonunulia ni USD 9.8 million ni sawa na bilioni 26 na pointi kwa pesa za Kitanzania.
Kwanini nasema inawezekana ndio ndege aliyoanguka nayo? Kwa sababu vyanzo vya kuaminika vinasema kwenye ndege kulikuwa na marubani wawili, helicopter nyingi inaendeshwa na rubani mmoja, hio AW139 ni helicopter kubwa na luxury na inabeba hadi watu 15 na inaendeshwa na marubani wawili.
Kwenye mtandao wa linkedin kwenye account yake mwenyewe Chivayo, miezi mitatu iliyopita alipost hii video hapa chini. aliandika "LEONARDO AW139 coming home...9.8 million USD well spent...💪💰🇿🇼🇿🇼🇿🇼" aka ambatanisha na video.
View attachment 3681571
AW139 inasifika kwa kwa kutengenezwa na advanced safety features, ina engines mbili, engine moja ikipata tatizo nyingine inaweza kuendelea na safari na hatimae helicopter ikatua mahala salama.
Hio ndege inatumika hadi kwenye missions za SAR, Search And Rescue, helicopter ambayo imepitishwa kufanya SAR missions ujue tu ina uwezo mkubwa wa kuvumilia mazingira magumu ya hali ya hewa.
Kiukweli siku ikifika imefika tu..
Huyu jamaa kafungu jicho la tatu!Braza Mzee wa Jicho la tatu umerudi?
Nilipokua nafanya kazi Cape Town niliwahi kufanya kazi za Safety na uokoaji pamoja na kuzima moto wa majanga makubwa baadae nikaongezewa cheo chief safety officer wa kampuni kazi ilikua ni kuzunguka na wakuu wengine Table Mountain na chopa na maeneo ya Water Front kwa baadhi ya siku niliwaambia hii kazi ya kupanda chopa kwangu mimi hapana bora niwe na kile kile cheo kuliko kuwa supervisor mkuu harafu nitumie chopa Director alikua mtata sana akasema kama hautaki kazi acha kweli ilikua Ijumaa nilipoenda Jumatatu nikasaini kuacha kazi yao watu walishangaa sana baada ya muda wakaanza kusikia ajali za chopa Cape Town mjini mara imeua mkuu wa polisi na walio pamoja wa safety kama mara tatu mpaka wakasitisha kuzurula na chopa Mjini mimi nikasota na kampuni ingine life likaendelea..Sisi wamatumbi tulisema hivi tunaambiwa ni wivu tu wa kimaskini, semeni nyie labda mtaeleweka
Usafiri wa mabus Tanzania kufika salama ni 50/50Nilipokua nafanya kazi Cape Town niliwahi kufanya kazi za Safety na uokoaji pamoja na kuzima moto wa majanga makubwa baadae nikaongezewa cheo chief safety officer wa kampuni kazi ilikua ni kuzunguka na wakuu wengine Table Maountain na chopa na maeneo ya Water Front kwa baadhi ya siku niliwaambia hii kazi ya kupanda chopa kwangu mimi hapana bora niwe na kile kile cheo kuliko kuwa supervisor mkuu harafu nitumie chopa Director alikua mtata sana akasema kama hautaki kazi acha kweli ilikua Ijumaa nilipoenda Jumatatu nikasaini kuacha kazi yao watu walishangaa sana baada ya muda wakaanza kusikia ajali za chopa Cape Town mjini mara imeua mkuu wa polisi na walio pamoja wa safety kama mara tatu mpaka wakasitisha kuzurula na chopa Mjini mimi nikasota na kampuni ingine life likaendelea..
Chopa kwangu hakuna tofauti na usafiri wa Bus Tanzania napanda basi tu maana kutoka Tunduma kwenda Daslm tu hapo unaweza usifike aisee..
Aisee.Ukitaka pesa yako ikuue nunua helicopter.
Jicho la uroda.Huyu jamaa kafungu jicho la tatu!
Au unamaanisha jicho gani mkuu?
Inashangaza.Jicho la uroda.
Kikubwa mwamba alikua anaingiza kichwa tuSasa huyo mwanamke alivyo mnene na amepanda juu alikuwa anamkaliaje chivayo kwa juu wakati wa kuliwa
Sasa nife kwa sababu ya pesa aisee na ziliua watu mpaka wakawa wananipigia simu wale wafanyakazi wengine ila nilipata kazi Globe na De beers pia nikaenda De beers miaka ya nyuma kazi tunachagua baada ya wao kukusomesha vitu vinavyoendana na kazi zao..Usafiri wa mabus Tanzania kufika salama ni 50/50
Mkuu Mpunga mrefu ukautema?
DaddyDah masikini helikopta ya watu 😭
Siku BICHWA KOMWE akifa, Jamiiforums itatikisika.Uzuri wa siku ya kifo chako ikifika, hakuna namna utaweza kujinasua
Kifo anapita na ww mlalomlalo 😂