MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 5,995
- 8,799
Mama kafiwa na kafiwa tenaa
Alistahili kuchukiwa na wananchi wa kawaida kwa sababu ushawishi/urafiki wake ulijikita zaidi kwa viongozi pekee wa hizo nchi.A person dies na watu wa mataifa manne wanashangilia kwa pamoja.
Huyu alikua anaonekana kikwazo
Narudia, Samia atawatoa hedhi mabarabarani kwa michuki mliojitengenezea baada ya kumshindwa kwenye Kila nyanja.......mamamamamae, mtoto wa kike anaipelekesha minyumbu Hadi Raha😄😄😄Kifo ni kifo tu. Pole sana Sa100 sasa utakumbatiwa na nani?
Sio tu kachangia bali yeye ndio aliingiza silaha zile zilizotumika na ushahidi upo sana tuKAchangia watanzania wengi kufa ict 29.Hvi huyu mama yy vipi mbn bdo yupo tu
Sometimes inafika mahali unachagua Kuishi kuliko kujali pesa tuSasa nife kwa sababu ya pesa aisee na ziliua watu mpaka wakawa wananipigia simu wale wafanyakazi wengine ila nilipata kazi Globe na De beers pia nikaenda De beers miaka ya nyuma kazi tunachagua baada ya wao kukusomesha vitu vinavyoendana na kazi zao..
Mechanical
Safety
Diving..
Kazi za hatari sana ila zilikua na malipo makubwa pia.
Miaka yetu watoto walikua wanaenda Brazil kama wanaenda kariakoo na wakirudi na sembe unawaangalia tu na kuwaambia hiyo sio kazi aisee wanakushangaa sana sana leo karibu wote wamenyongwa China na Iran wengine wamefungwa Hong Kong ukiwa na life yako fata hiyo hiyo hela zipo ila sio kwa njia hatarishi sana..Sometimes inafika mahali unachagua Kuishi kuliko kujali pesa tu
Tutasikitika sana 😂Siku BICHWA KOMWE akifa, Jamiiforums itatikisika.
Hili ndio neno!.Kiukweli siku ikifika imefika tu..
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi