Kuna uwezekano Chivayo alikuwa kwenye hii helicopter

Inasikitisha sana.
 
Sisi wamatumbi tulisema hivi tunaambiwa ni wivu tu wa kimaskini, semeni nyie labda mtaeleweka
Nilipokua nafanya kazi Cape Town niliwahi kufanya kazi za Safety na uokoaji pamoja na kuzima moto wa majanga makubwa baadae nikaongezewa cheo chief safety officer wa kampuni kazi ilikua ni kuzunguka na wakuu wengine Table Mountain na chopa na maeneo ya Water Front kwa baadhi ya siku niliwaambia hii kazi ya kupanda chopa kwangu mimi hapana bora niwe na kile kile cheo kuliko kuwa supervisor mkuu harafu nitumie chopa Director alikua mtata sana akasema kama hautaki kazi acha kweli ilikua Ijumaa nilipoenda Jumatatu nikasaini kuacha kazi yao watu walishangaa sana baada ya muda wakaanza kusikia ajali za chopa Cape Town mjini mara imeua mkuu wa polisi na walio pamoja wa safety kama mara tatu mpaka wakasitisha kuzurula na chopa Mjini mimi nikasota na kampuni ingine life likaendelea..
Chopa kwangu hakuna tofauti na usafiri wa Bus Tanzania napanda basi tu maana kutoka Tunduma kwenda Daslm tu hapo unaweza usifike aisee..
 
Usafiri wa mabus Tanzania kufika salama ni 50/50
Mkuu Mpunga mrefu ukautema?
 
Usafiri wa mabus Tanzania kufika salama ni 50/50
Mkuu Mpunga mrefu ukautema?
Sasa nife kwa sababu ya pesa aisee na ziliua watu mpaka wakawa wananipigia simu wale wafanyakazi wengine ila nilipata kazi Globe na De beers pia nikaenda De beers miaka ya nyuma kazi tunachagua baada ya wao kukusomesha vitu vinavyoendana na kazi zao..
Mechanical
Safety
Diving..
Kazi za hatari sana ila zilikua na malipo makubwa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…