Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

🀣🀣🀣🀣
Yaani katika watu ambao huwa haueleweki na unaonekana kuwa na wenge la kisiasa ni wewe.
Andika habari yako kwa uzito mbona habari za kumsifiq SSH huwa unaandika kama ukurasa wa gazeti?
sasa unakenua na kubababika na nini ikiwa hujaelewa chochote na sieleweki kwako gentleman?

mimi si muandishi, bali mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa, elimu, dini n.k na kwahivyo nisamehe sana kwenye eneo la uandishi mrefu..

pole sana πŸ’
 
umuhimu moja wapo wa hoja yangu ni kukuandaa ili upokee dynamics hiyo ya kisiasa bila taharuki,

ni muhimu sana kuwa mustahimilivu na mwenye subra na kwa wakati muafaka, hakuna cha kusubiri na itakua.zingatia maelezo kwenye hoja ya msingi πŸ’
🀣🀣🀣
Aisee!
 
Wewe ni mjuaji sana!! Huogopi kuzoeazoea wanaume wa Bara?

Kila kitu ni wewe tu!! Au ni baada ya kuona mwenzako Luka anadandia pipa Kwa uchawa?
binafsi nafanya mambo ya kizalendo kwa tafiti kwa mustakabali wa wa siasa na Maendeleo ya waTanzania wote πŸ’
 
Kiukweli vyama vyote vya upinzani ni kama havieleweki na wapinzani wengi washapoteza umaarufu na imani kwa wananchi hivyo hata mtu akihamia chama chochote bado hawezi kurudisha imani kwa wananchi ukifuatilia kwa sasa hivi wananchi wana imani kubwa na mtu mmoja mmoja haijalishi yupo upinzani, ccm au hana chama mfano ni Makonda na Mwabukusi.
 
unaona mbali sana gentleman,
hii ni miongoni mwa very visionary comments kwa leoπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Hili jamaa tlaa linajiharishia hovyo! kha Heche ni wa kuchanganywa na uchafu!?? Tumuulize Nyaronyo kicheere eti mkurya mzima akajiunge wapi!? Hata uanaume utaishia aroooo!
 
Mkuu bado Lisu hajajiunga CCM?
kua mstahimilivu na mwenye subra tu gentleman, mambo mazuri katika siasa hayatakia haraka ila hutokea katika kipindi, muda na wakati muafa ufaao πŸ’
 
Hili jamaa tlaa linajiharishia hovyo! kha Heche ni wa kuchanganywa na uchafu!?? Tumuulize Nyaronyo kicheere eti mkurya mzima akajiunge wapi!? Hata uanaume utaishia aroooo!
relax basi kamanda mihememko ya nini sasa?
hakuna lisilowezekana kwenye siasa za vyama vingi hasa ukiwa na uelewa na ufahamu wa kutosha wa masuala ya uhuru, haki na demokrasia πŸ’
 
Aksante kwa taarifa kula kula bure
 
relax basi kamanda mihememko ya nini sasa?
hakuna lisilowezekana kwenye siasa za vyama vingi hasa ukiwa na uelewa na ufahamu wa kutosha wa masuala ya uhuru, haki na demokrasia πŸ’
Mbona tena hupigii chapuo chama chako cha watekaji!?
Umekuja kivingine! Unataka kumteka Heche muraa! Humuweze utaishia kugechwa tuuuuuuuuuuuu!!
 
Za kwako sio tetesi ni uzushi kwani huwa hazitimii.
 
Siku hizi hakuna cha makabila magumu wala nini, kwenye pesa kabila gumu hugeuka kuwa laini kuliko pamba. Rejea Waitara.
 
🀣 Sasa hivi🌈 naona umejua ili post zake zipate wachangiaji wengi ni kuitaja cdm.
 
🀣 Sasa hivi🌈 naona umejua ilo post zake zipate wachangiaji ni kuitaja cdm.
limekuganda na kukukaba moyoni umekwama kabisa kuvumilia dah 🀣
 
Siku hizi hakuna cha makabila magumu wala nini, kwenye pesa kabila gumu hugeuka kuwa laini kuliko pamba. Rejea Waitara.
saa zingine ukiweka mihememko kando kumbe unaweza kujenga hoja ya kisiasa nzuri kabisa dah πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…