Tetesi: Kuna uwezekano John Heche akatimkia ACT Wazalendo

Siku hizi hakuna cha makabila magumu wala nini, kwenye pesa kabila gumu hugeuka kuwa laini kuliko pamba. Rejea Waitara.
Kuna watu wana kitu kinachoitwa integrity, wakihama mahali wanahama for solid reasons kama Dr. Slaa baada ya ile press conference ya Serena hukumsikia tena akiinanga Chadema, au Lawrence Masha, yeye aliandika na akatoa sababu CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!

Lakini Waitara is not a person of integrity!, ni jitu la ovyo ovyo kama Mchungaji Msigwa alikuwa a person of high integrity alipokuwa Chadema, sasa huko CCM amekuwa ni mtu wa hovyo sana!, tena infact kuna wakati anakuwa kituΔ·o kabisa kwa kujizima data!. Hawa wahamaji vituko tumewashauri Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Japo hakuna mkate mgumu mbele ya chai, Heche akiamua kuachana na zege kokoto akaamua kula mbogamboga nitasikitika sana!.
P
 
painful truth with facts 🀣
 
Tanzania hakuna kabila laini wala kabila gumu labda useme kabila fulani wana tabia za roho mbaya au roho za kuridhika.

Hata ugumu wa kabila unatokana na mtu na mtu vile roho mbaya au nzuri ni mtu na mtu Acha kudhalilisha watu kimaneno ya kukariri
 
Kama wewe ndio Mwanadiplomasia halafu unaandika vitu kama hivi kweli hakuna kitu we ni mweupe sana huwa unafanya kazi kwa maelekezo maalum hauko huru πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
 
Kama wewe ndio Mwanadiplomasia halafu unaandika vitu kama hivi kweli hakuna kitu we ni mweupe sana huwa unafanya kazi kwa maelekezo maalum hauko huru πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ
sasa wewe mweusi mbona unaishia mihemko na makasiriko tu, na huna mawazo mapya na wala fikra mbdala dhidi ya hoja mezani 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…