KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election).
Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu maana alikuwa Threat nyingine yule Bishop ni mhusika wa pili na yule mwanasheria nguli ni mhusika mkuu mwingine.
Sema uchaguzi baada ya uchaguzi unaweza simamiwa na Vyombo viadilifu vya dola kabla ya mabadiliko ya katiba kufanyika mwaka 2027-2028.
Sema Bishop leo kamuamkia sportpesa ( Yule pojoro mkamaria) kamwambia akiendelea kumgusa Atanuka KINONDONI yote itamkataa.