PreGE2025 Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi

PreGE2025 Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election).

Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu maana alikuwa Threat nyingine yule Bishop ni mhusika wa pili na yule mwanasheria nguli ni mhusika mkuu mwingine.

Sema uchaguzi baada ya uchaguzi unaweza simamiwa na Vyombo viadilifu vya dola kabla ya mabadiliko ya katiba kufanyika mwaka 2027-2028.

Sema Bishop leo kamuamkia sportpesa ( Yule pojoro mkamaria) kamwambia akiendelea kumgusa Atanuka KINONDONI yote itamkataa.
Mbona mnazidi kusogeza miaka mbele?
 
Ingekuwa nchi inawapinzani wenye akili kidooogo woote wangesimama kupinga uchaguzi na kulaani kitendo cha lisu kufungwa.
Ajabu ndokwanza mimate inawatoka ikitamani kilamojalao kuwa chama kikuu cha upinzani!!
Hayawezi kutetea haki wala kusimamia haki ya mwananchi yeyote kwakuwa yenyewe ndiyo ikombele kushedadia kuporwa/kupindishwa haki zao za kuchagua/kuchaguluwa.
Wapinzani woote wanaotaka kugombea kwa tume haramu ya uchafuzi ni maganga njaa yasiyojitambua yanayosubiri huruma ya maama ili yapate chochote kitu... tena yanaongozwa na kizito kabwela msaliti wahedi
Kama unategemea wanasiasa watetee haki yako utasubiri sana. Siasa ni biashara kama unavyoona biashara zingine
 
hakika mkuu. Unajiuliza hivi vyama pinzan wanajua wanacho kitafuta kweli!? Wengne wanagomea uchaguz badala wote waungane wengne wanasema tunashilik..
Kama wewe unadhani hawajui wanachokitafuta basi inabidi ukajifunze maana ya Siasa
 
Ingekuwa nchi inawapinzani wenye akili kidooogo woote wangesimama kupinga uchaguzi na kulaani kitendo cha lisu kufungwa.
Ajabu ndokwanza mimate inawatoka ikitamani kilamojalao kuwa chama kikuu cha upinzani!!
Hayawezi kutetea haki wala kusimamia haki ya mwananchi yeyote kwakuwa yenyewe ndiyo ikombele kushedadia kuporwa/kupindishwa haki zao za kuchagua/kuchaguluwa.
Wapinzani woote wanaotaka kugombea kwa tume haramu ya uchafuzi ni maganga njaa yasiyojitambua yanayosubiri huruma ya maama ili yapate chochote kitu... tena yanaongozwa na kizito kabwela msaliti wahedi
😂😂
 
Kama unategemea wanasiasa watetee haki yako utasubiri sana. Siasa ni biashara kama unavyoona biashara zingine
Kwa hiyo watatetea akina nani? Mbona barabara tunazopita zi.ejengwa kwa matakwa ya wanasiasa? Hata hilo bando unalotumia kwa pesa zako li.eamuliwa na hao hao wanasiasa. Hata sasa wakiamua usilitumie hutaweza. Kwanini ushi dwe kuamini kwamba wanaweza pia kupigania haki zako? Be mindful
 
Kuna Ile namna unakula keki alafu inakukifu kwa sababu ya hamira,alafu Kuna mtu anakuletea keki nyingine ule.

Ndiyo hali niliyonayo kwa huyu mama Samia. Kwa jinsi alivyonikifu alafu October anakuwa Rais kwa awamu nyingine miaka 5...!! Dah, inakifu sana.

Kwa sasa aliye adui wa Hawa mbogamboga pamoja na mwenyekiti wao,Mimi naungana nae Moja kwa Moja.. Hata akiwa beberu,sawa tu
Haha una hoja, hauko peke yako
 
Back
Top Bottom