Kwa vile ni wa dini pendwaKisa ameongea yale mnayopenda kusikia?
Kwa vile ni wa dini pendwaKisa ameongea yale mnayopenda kusikia?
Mwanasheria nguli ni machoman? Aliesema aliokotwa kule?Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election).
Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu maana alikuwa Threat nyingine yule Bishop ni mhusika wa pili na yule mwanasheria nguli ni mhusika mkuu mwingine.
Sema uchaguzi baada ya uchaguzi unaweza simamiwa na Vyombo viadilifu vya dola kabla ya mabadiliko ya katiba kufanyika mwaka 2027-2028.
Sema Bishop leo kamuamkia sportpesa ( Yule pojoro mkamaria) kamwambia akiendelea kumgusa Atanuka KINONDONI yote itamkataa.
Haiwezekani nyie chadomo c mmesema mnaenda na maaskofu sasa vyama vengn vimewakataaNaamini kabisa kama ACT Wazalendo kwa nguvu waliyokuwa nayo Zanzibar wangeungana na Chadema mabadiliko kabla ya uchaguzi yangefanyika kwani hivyo vyama vingine vilivyobakia ni vya mfukoni tu,lakini ndiyo hivyo ACT Wazalendo wameamua kuisaidia CCM kuhalalisha ubakaji wa demokrasia kwa mara nyingine tena. INASIKITISHA SANA.
KwaniWamuunge mkono Gwajiboy. Ndiye muadilifu pekee ndani ya CCM
Kwani muda wote alikua wapi na ndio iwe sasa?
Kwani
Hivyo vyama vilianzishwa kama geresha enzi zile..ili ku qualify kuendana na IMF..sasa ndio rasmi tumepata chama cha kwanza cha upinzani Tanzania..ila tutegemee kuona maajabu yote ambayo hatujawahi kushuhudia tangu Taifa hili liundwe...Hoja zitajibiwa kwa mtutu wa bunduki...kutekana...au kuuana kabisa..Mwl alisema ..Hoja zisipigwe rungu...hoja zijibiwe kwa hoja .haya majibishano ni hatua mbaya sana tuliyofikia.Ingekuwa nchi inawapinzani wenye akili kidooogo woote wangesimama kupinga uchaguzi na kulaani kitendo cha lisu kufungwa.
Ajabu ndokwanza mimate inawatoka ikitamani kilamojalao kuwa chama kikuu cha upinzani!!
Hayawezi kutetea haki wala kusimamia haki ya mwananchi yeyote kwakuwa yenyewe ndiyo ikombele kushedadia kuporwa/kupindishwa haki zao za kuchagua/kuchaguluwa.
Wapinzani woote wanaotaka kugombea kwa tume haramu ya uchafuzi ni maganga njaa yasiyojitambua yanayosubiri huruma ya maama ili yapate chochote kitu... tena yanaongozwa na kizito kabwela msaliti wahedi
MhLet's wait and see bro ..... TEETH ...JW...FOREST... soon wataanza kumuunga MKONO mmoja WA hao
Mbelijiji. Bishop ni gwajiboy...Huyo mwanasheria nguli ndio sijampata kati ya wote walio tajwa
Na tayari tetesi zilisikika majuzi eti wanataka mzalendo nchimbi ndio awe!!sijui Nini kinaendelea baada ya maombi ya juzi Kuna ukimya mkubwa sana kisiasa hats hatujui huko mapumzikoni kisiwani kulikoni!!?Let's wait and see bro ..... TEETH ...JW...FOREST... soon wataanza kumuunga MKONO mmoja WA hao
Ndicho hicho kilichopo kisiwani Hadi Sasa hajaibuka!!?Kwa macho ya ndani kwa pressure aliyonayo mchaguliwa ni rahisi kwake kupotelea kusiko julikana! Kama Gavana mmoja wa fedha alie potea mpaka leo
Maybe amemaanisha TALHuyo mwanasheria nguli ndio sijampata kati ya wote walio tajwa
Na hapo ndio ule usemi When the Going Gets Tough, the Tough Get Going utakuwa umetimiaLet's wait and see bro ..... TEETH ...JW...FOREST... soon wataanza kumuunga MKONO mmoja WA hao
NO REFORMS, NO ELECTION.Kwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election).
Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu maana alikuwa Threat nyingine yule Bishop ni mhusika wa pili na yule mwanasheria nguli ni mhusika mkuu mwingine.
Sema uchaguzi baada ya uchaguzi unaweza simamiwa na Vyombo viadilifu vya dola kabla ya mabadiliko ya katiba kufanyika mwaka 2027-2028.
Sema Bishop leo kamuamkia sportpesa ( Yule pojoro mkamaria) kamwambia akiendelea kumgusa Atanuka KINONDONI yote itamkataa.
Amekula za uso!Yule jamaa wa Kusini alikuwa amejiandaa Kukalia Icho Kiti Kikuu
Bishop hashindwi, amuulize makonda almanusura mambo yawe mambo jiwe akamaliza kinyumbaniakiendelea kumgusa Atanuka KINONDONI yote itamkataa.