KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Threads zako Huwa nazichukulia kwa uzito mkubwa
Wamuunge mkono Gwajiboy. Ndiye muadilifu pekee ndani ya CCMLet's wait and see bro ..... TEETH ...JW...FOREST... soon wataanza kumuunga MKONO mmoja WA hao
Mwamba mwenye kesi ya UHA-INIHuyo mwanasheria nguli ndio sijampata kati ya wote walio tajwa
Huyo mwanasheria nguli ndio sijampata kati ya wote walio tajwa
No Reforms Na ElectionAll in all tunacho hitaji ni mabadiliko.
Mafumbo kama malenga wa chakachaKwa hali inayoendelea Sasa. Na vile ambavyo wahusika wakuu wa uchaguzi hawapo Kwenye Race Ya uchaguzi na wanapigwa vita Kali mno Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi ( Election after election).
Yule mgombea mwenza ni mhusika ambaye ameminywa kiintelijensia na kihesabu maana alikuwa Threat nyingine yule Bishop ni mhusika wa pili na yule mwanasheria nguli ni mhusika mkuu mwingine.
Sema uchaguzi baada ya uchaguzi unaweza simamiwa na Vyombo viadilifu vya dola kabla ya mabadiliko ya katiba kufanyika mwaka 2027-2028.
Sema Bishop leo kamuamkia sportpesa ( Yule pojoro mkamaria) kamwambia akiendelea kumgusa Atanuka KINONDONI yote itamkataa.
LissuHuyo mwanasheria nguli ndio sijampata kati ya wote walio tajwa
hakika mkuu. Unajiuliza hivi vyama pinzan wanajua wanacho kitafuta kweli!? Wengne wanagomea uchaguz badala wote waungane wengne wanasema tunashilik..Ingekuwa nchi inawapinzani wenye akili kidooogo woote wangesimama kupinga uchaguzi na kulaani kitendo xha lisu kufungwa.
Ajabu mimate inawatoka ikitamani kilamojalao kuwa chama kikuu Cha upinzani!!
Hayawezi kutetea haki Wala kusimamia haki ya mawananchi yeyote iwapo yenyewe ndiyo ikombele kushedadia kuporwa/kupindishwa haki zao za kuchagua/kuchaguluwa.
Wapinzani woote wanataka kugombea Kwa tume hii ni maganga njaa yasiyojitambua yanayosubiri huruma ya mama ili yapate chochote kitu Tena yanaongozwa na kizito kabwela
Kisa ameongea yale mnayopenda kusikia?Wamuunge mkono Gwajiboy. Ndiye muadilifu pekee ndani ya CCM