PreGE2025 Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wekeni clip hizo
 
Njaaa mkuu. Madalali wa kisiasa hao na wengine ni watu wa sisiemu hivyo wana weka kaungo kaupinzani ili jumuiya za kimataifa zione kuna demokrasia
 
Chama kama ACT wazalendo kitafanya nini wakati ni sehemu ya chama tawala kule zanzibar. Pia kuna vyama shikizi havina ujasiri wa kukabiliana na ccm. CHADEMA ya kina lissu na heche ndio ya moto na ccm wanafanya jitihada kuizima
 
Naamini kabisa kama ACT Wazalendo kwa nguvu waliyokuwa nayo Zanzibar wangeungana na Chadema mabadiliko kabla ya uchaguzi yangefanyika kwani hivyo vyama vingine vilivyobakia ni vya mfukoni tu,lakini ndiyo hivyo ACT Wazalendo wameamua kuisaidia CCM kuhalalisha ubakaji wa demokrasia kwa mara nyingine tena. INASIKITISHA SANA.
 
Mungu wetu hajalala usingizi,atatuamulia huu ugomvi kwa mara nyingine tena.
 
Da Nimeishia Kucheka Huku Nikihuzunika.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mafumbo kama malenga wa chakacha
Subiri hii nchi imefikia mahali ambapo sheria zina macho, na sababu hasa ni ubovu hii katiba. Kwa sasa tutaingia kwenye factory reset kisha tutaanza upya kiutawala. Kama hujamalizia miradi yako kwa kushabikia utawala huu fanya juu chini umalizie.
 
Tume halali ni ipi na kwa sheria ipi? Au unafurahisha baraza!
 
Kuwa na break bas ndg yangu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…