PreGE2025 Kuna uwezekano mkubwa sana kukawa na uchaguzi baada ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwanasheria nguli ni machoman? Aliesema aliokotwa kule?
 
Haiwezekani nyie chadomo c mmesema mnaenda na maaskofu sasa vyama vengn vimewakataa
 
Maajabu ya hii nchi upinzani baadhi wanaungana na ccm kwenye maswali yao halafu hukohuko ccm anaibuka gwajbway anaona awe mtu mwenye mawazo Hai juu ya ya nayo endelea. Anapingwa na wasemaji
 
Hivyo vyama vilianzishwa kama geresha enzi zile..ili ku qualify kuendana na IMF..sasa ndio rasmi tumepata chama cha kwanza cha upinzani Tanzania..ila tutegemee kuona maajabu yote ambayo hatujawahi kushuhudia tangu Taifa hili liundwe...Hoja zitajibiwa kwa mtutu wa bunduki...kutekana...au kuuana kabisa..Mwl alisema ..Hoja zisipigwe rungu...hoja zijibiwe kwa hoja .haya majibishano ni hatua mbaya sana tuliyofikia.
 
Muda utatupa majibu ya maswali yote haya tunayoulizana
 
Let's wait and see bro ..... TEETH ...JW...FOREST... soon wataanza kumuunga MKONO mmoja WA hao
Na tayari tetesi zilisikika majuzi eti wanataka mzalendo nchimbi ndio awe!!sijui Nini kinaendelea baada ya maombi ya juzi Kuna ukimya mkubwa sana kisiasa hats hatujui huko mapumzikoni kisiwani kulikoni!!?

Tulizoea kila siku Kuna heka heka za kutosha za ziara mbali mbali!kwahiyo tuseme hapo kisiwani ndio mapumzikoni na sio uarabuni au dubai!!?

Nawaza mkuu!!
 
Kwa macho ya ndani kwa pressure aliyonayo mchaguliwa ni rahisi kwake kupotelea kusiko julikana! Kama Gavana mmoja wa fedha alie potea mpaka leo
Ndicho hicho kilichopo kisiwani Hadi Sasa hajaibuka!!?

Nijibu mkuu!!
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…