Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Kiufupi wapinzani wa Tanzania wanapenda Sana kuona taifa likiingia kwenye dhahama,

Nampongeza Sana Rais wetu kwa kuamua na kufahamu kuwa Ni Mungu pekee awezaye kutuokoa!

Mwenyezi Mungu utukuzwe na uhimidiwe milele na milele.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 

Lini itatokea Mshana?
 

Wengi wanaotaka hayo ni wachawi, wanaojificha kwenye kazi ya Mwenyezi Mungu kama watumishi wake
 
Ila vitu vingine anaweza akaandika mtu, halafu wewe unayesoma ndio unaona aibu yaaan...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi nadhani, au niseme naamini kwamba hiyo Corona ni aina tu ya mafua.

Naamini pia si kali sana kama tulivyoaminishwa.

Pia naamini haijaisha. Nadhani ipo na watu wanaipata hapa Tanzania.

Unless labda kama siku hizi watu hawaugui tena mafua.

Lakini kama wanaugua mafua, basi pia watakuwepo wanaopata Corona.

Na kama yalivyo tu mafua ya kawaida, watu wanapona na maisha yanaendelea.

Karibu 2020 inaisha sasa na watu hawafi kwa wingi kuliko ilivyo kawaida. Spitali hazijaelemewa na wagonjwa.

Hata huko Marekani nyie subirini muone....corona itaisha tu kimya kimya baada ya tarehe 3 mwezi ujao wa Novemba.

Kiranga uione hii ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ