Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai.
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
Huu uzi umenifurahisha sana, kwa kupiga domo bila facts hatujambo.Shida ni uelewa
Tutazikana sana
Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 ni zaidi ya 100000+ ndani ya Tz.
Let's wait na see
Wenye kuropoka ni miongoni mwa hiyo number
Wabongo ujuaji mwingi wakati maarifa sifuriHuu uzi umenifurahisha sana, kwa kupiga domo bila facts hatujambo.
Well, thank God yameisha.
Watanzania wengi hawajui tofauti kati ya kuhisi, kudhani, kusadiki, kutoa maoni, na kujua.Huu uzi umenifurahisha sana, kwa kupiga domo bila facts hatujambo.
Well, thank God yameisha.
🤣🤣🤣Lini itatokea Mshana?
Ila vitu vingine anaweza akaandika mtu, halafu wewe unayesoma ndio unaona aibu yaaan...😂😂😂Ila hii Corona ilivyoisha Tanzania.....Mungu ndio anajua!
Mshana atuambie lockdown yake itatokea lini tujiandaeIla hii Corona ilivyoisha Tanzania.....Mungu ndio anajua!
Kiufupi wapinzani wa Tanzania wanapenda Sana kuona taifa likiingia kwenye dhahama,
Nampongeza Sana Rais wetu kwa kuamua na kufahamu kuwa Ni Mungu pekee awezaye kutuokoa!
Mwenyezi Mungu utukuzwe na uhimidiwe milele na milele.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi nadhani, au niseme naamini kwamba hiyo Corona ni aina tu ya mafua.Ila vitu vingine anaweza akaandika mtu, halafu wewe unayesoma ndio unaona aibu yaaan...😂😂😂
😮😮Lini itatokea Mshana?
Kwani kuna kitu alichotabiri/kusema kikawahi kutokea?Lini itatokea Mshana?
Kwani kuna kitu alichotabiri/kusema kikawahi kutokea?