cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji30][emoji30][emoji30][emoji777][emoji777][emoji777]Mbele kwa mbele
2020
[emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
Halafu wengi wanaopiga kelele humu ukiwauliza sasa kuhusu kupiga kura wanasema hawapigi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wana kelele zisizoumiza.
Hizo spana zao watapigwa wenyewe nimeshaandaa kadi yangu ya kupigia kura
Wao watakua busy kujipaka wino kusingizia wameshapiga kura wakati kadi hawana,hawapo vutuon mwao etc
Corona corona corona ilikua wimbo wao. Mara leo wanampongeza kagame,mara wanakebehi maombi nchi nzima huku wakiwa busy kusambaza clip za museven akidhihaki maombi
Kama huyaoni utakuwa mgonjwa wewe siyo bureMazuri yapi? unaweza taja hata mawili ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shost leo una hasira za kuua mtu kabisa, umekula nini leo bebi wangu nikuongezee tena, walahi leo umenimaliza mie mtoto wa mutu
kwa akili yako unadhani ingekuwepo lissu mpenda sifa angekaa kimya kwa namna anapenda kiki za kisiasa? angekubali kuhatarisha afya yake na za wanachama? umetumia mifano ya kitoto sana kuutetea ujinga wa mtoa mada
Mods wana akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]Una shida gani wewe Dada tena
Mbona hausemi ilipo!??Kwahiyo Tanzania hakuna corona
Hebu na wewe mshangae mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtani bwana [emoji3][emoji3][emoji3]
hata ukitukana hakubadili uhalisia wa namna magufuli alivyouburuza ulimwengu dhidi ya coronaAgain Lissu oyee
Ukienda roma kula Kama waroma, utajiju!
Kwa hio km Lissu Havai then Corona haipo Tanzania? Stupid
Kwa lugha rahisi ni hivyo Corona Covid 19 HAKUNA TanzaniaKwahiyo Tanzania hakuna corona
Wewe si unajua takwimu zilipo mzeiya, lete hapa ili tuthibitishe na wewe utakuwa sahihi zaidi ya wengine ambao tunaamini hakuna Corona kwa sasa. Data ziko external kama unavyosema, maana tayari una access ya huko ziliko, please zilete hapa tuone, mbona ni rahisi tu.Kwanini unataka kunilazimisha ili kufurahisha genge lisilo na takwimu mitandaoni? Wote mko na simu zenu huko mliko hakuna hata mmoja mwenye data za covid Tanzania
Niletee current data KUWA TANZANIA HAKUNA COVID nitaomba radhi bila kupepesa macho
Sent using Jamii Forums mobile app
wacha kuruka ruka taja walau mawil tu, just twoKama huyaoni utakuwa mgonjwa wewe siyo bure
Hebu na wewe mshangae mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wacha kuruka ruka taja walau mawil tu, just two
Mtafute mdogo wako hapo atakutajiawacha kuruka ruka taja walau mawil tu, just two
Alishasema hajakosea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe si unajua takwimu zilipo mzeiya, lete hapa ili tuthibitishe na wewe utakuwa sahihi zaidi ya wengine ambao tunaamini hakuna Corona kwa sasa. Data ziko external kama unavyosema, maana tayari una access ya huko ziliko, please zilete hapa tuone, mbona ni rahisi tu.
All in all, kuongea bila facts ni kusaidia kuleta panic na kupotosha umma, taarifa na tahadhari uliyotoa ilitakiwa kutolewa na mamlaka as wao ndio walikuwa na takwimu sahihi. Hivi unajua kuwaambia watu wanunue vyakula na maji ya kutosha, huenda wachukue fedha za kutosha na kuziweka nyumbani tayari ungeleta taharuki katika jamii? Unajua ungesababisha panic na uhaba wa bidhaa muhimu pamoja na vyakula? Kwa nini wewe ambaye huna mamlaka ulitoa tahadhari ambayo huenda ilitakiwa kutolewa na either waziri mkuu au waziri wa afya?
Unajua watu wanakuandama kwa sababu uliandika kitu usichokijua na bahati mbaya hujui kama hukujua, to-date bado hujui kama ulichoandika hukukijua. Mstaarabu akivuliwa huchutama.