Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo unatabiri au?

Mawazo uchwara haya! Serikali haifanyi kazi kwa kupiga ramli na kugonganisha matunguli.

Lazima pawe na maono na mikakati ya kupambana na matokeo ya lockdown!

Kama hiyo mikakati haipo au haiwezekani, basi lockdown itakuwa ni mtego wa kifo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu la lock down bado ina mjadala mkali level ya viongozi wa juu over the week sasa.. Kila maamuzi yanaangaliwa faida na hasara zake.. Bado kuna kizungumkuti kikubwa kwenye hili
Ndio mzee, ngumu sana kumfungia mtu ndani wakati he has no food, na wala hana pesa. Hii strategy iendelee tu huko mbele, ufukara wa kichwa kimoja kimoja na uwezo mdogo wa serikali zetu ni ngumu mno kutimiza hili.

Jr[emoji769]
 
[emoji2307]
 
Ni wakati wa wanyama kujiachia mitaani


Jr[emoji769]
 
Hizi tetesi mwenyewe nimezisikia.
Let's wait n see. Tragedy that will be.
 
Tibaijuka alishauri watu waanzae kutumia mitishamba kama survival strategy ya corona,,, Hii Lokdauni ni kuleta balaa lingine kubwa zaidi kiuchumi.... hata serikali itashindwa kupata mapato
 
Mimi nimeshaji lock down. Natoka when it is very necessary.
 
Na nikitoka navaa mask. Basi watu wananishangaa na mask yangu but I do not care anyway.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom