Kuna uwezekano wa kupata mimba siku ya 11 ya mzunguko wa hedhi?

Akitoka MTT wakiume mimba ya mume wake akitoka wa kike mimba yamchepuko
 
Acha hadithi na story za abunuasi, hivi kijiji gani hicho ambacho kuna vocha na smartphone unayo ya kuingia JF huku kikose duka la dawa au zahanati ya kuchek kama una mimba au laah?
 
Mm mzunguko wangu ubabadilikabadilika Mara 28 Mara 30 Mara 31 yaan haueleweki
 
Kama ni mtoaji nje mzuri ninaamini upo poa, 11 day ina uwezekano MKUBWA SANA, ila hizo dalili sio zenyewe!
 
Acha hadithi na story za abunuasi, hivi kijiji gani hicho ambacho kuna vocha na smartphone unayo ya kuingia JF huku kikose duka la dawa au zahanati ya kuchek kama una mimba au laah?
Mkuu hujui kuwa kuna kununua vocha kwenye miamala??
 
Acha hadithi na story za abunuasi, hivi kijiji gani hicho ambacho kuna vocha na smartphone unayo ya kuingia JF huku kikose duka la dawa au zahanati ya kuchek kama una mimba au laah?

Hivi vocha na smart phone si anaweza kuwa kaenda nazo au kutumiwa? kabla hujaropoka fikiria, kuna vijiji havina maduka ya dawa kabisa, na labda yapo hayana hivyo VIPIMO!
 
Hivi vocha na smart phone si anaweza kuwa kaenda nazo au kutumiwa? kabla hujaropoka fikiria, kuna vijiji havina maduka ya dawa kabisa, na labda yapo hayana hivyo VIPIMO!
Itakuwa una vinasaba vya kike wewe. Kama unaweza ingia kwenye simu ya smart phone na kuandika jf hasa kwa maeneo ambayo yana 3g. Sasa kwa uzoefu 3g iko maeneo ambayo kidogo yameendelea sasa sijui unabishana nini.Hata zahanati ikosekane
 
Mimba ni ya mchepuko
 
Kijijini kwetu waweza tembea kwa 2KM ukapata 3G, na hakuna dispensary ... wewe unakaa Manzese unafikiri kila mahali pako kama Kijiji cha Manzese!
 
Ha ha ha. Mungu atusaidia wanawake. Yaaani zikija unaweza hata chinja mbuzi kwa furaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahahhaha usiombee uwe umecheza rafu na kadent alafu kanakwambja stori kama hizo dah.....

After a long wait, siku ya siku anaona siku zake unaweza ukawa chizi gafla.

Kuna rafiki yangu alisha wahi kutupa offer ya bia kwa sababu ya hii kitu.
 
Acha hadithi na story za abunuasi, hivi kijiji gani hicho ambacho kuna vocha na smartphone unayo ya kuingia JF huku kikose duka la dawa au zahanati ya kuchek kama una mimba au laah?
Nenda wilaya ya tunduru ndan utaona Tanzania inaukubwa gani na baadhi yamahitaji yapo kwajili ya wahitaji tu no extra unakuta duka lina koloboi ya mafuta ya kula ya taa kiberiti unga ndala chumvi sukari magadi amila ukitaka nido na vocha fata mwenyew mjin mkuu Tanzania kubwa sana na kuna sehem unaweza kwenda ukashangaa Hv bado kunajamii ya watu wanaishi Hv karne hii? Kuna vijiji unaenda unamkuta nesi anafanya had majukum ya Dr. Maan ndy mtaalamu pekee wa afya kijijini hapo sishangai hilo aulizalo muhusika juu
 
Kutoka ulipo paka town nauli shingapi? Au vijiji vya jirani? Be serious assume umeumwa au unadharula inayokuhitaji wewe kwenda kwenye health center...

Siku ya 11 ni hatari kama zilivyo nyingine. Tafuta nauli
 
Hapo tayari una mimba!! Yai hupevuka siku ya 14, na mbegu za uzazi zinauwezo wa kuishi katika kizazi hadi siku 3,Suala kuwa alimwagia nje ni gumu maana tule tujamaa tuna spidi sana wakati wa kutoka, na nilishajaribu huwa zinaponyoka.
 
Pole kwake lkn ni changamoto za kawaida, duniani hapa hakuna aliye mkamilifu kuna waliopo kwenye ndoa kabisa lkn wamezaa nje ya ndoa hivyo asijione kukosea sana. Aikubali hali aliyonayo na aamue mwenye asimame wapi maana ni ngumu kujua moja kwa moja ni manii za nani zilirutubisha yai kwa sasa. Wakati mwingine maisha yanahitaji msimamo na uwe na siri zako binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…