mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
Samia aliteua lini Polepole?imagine, haujawahi kua mbunge tangu uzaliwe, Rais Samia anakuteua ubunge wa bure ambao hata sio wa kupigiwa kura, unakula mshahara na marupurupu, usafiri everything, afu siku moja from nowhere unasikika ukiutangazia umma kwamba, wakitaka kukupora ubunge wachukue tu hauwaogopi. hivi kuna wangapi wangepewa nafasi yako hiyo ambao wangekuwa hata na adabu? wakati huo yule aliyekuteua hajakujibu wala nini na ni mtu mwenye mamlaka makubwa. vijana ndio maana wanashindwa kuaminiwa. vigeugeu sana.
wanaomjua polepole, hawapendi hata kumsikiliza kwenye izo clip zake. ila ninyi ambao hammjui kiundani ndio mnashobokea. anafanya maigizo, ni mmoja wa watu walioharibu sana nchi hii kwenye uchaguzi wa 2020. ndio maana ana gurts hata za kusema jpm hakumaliza wote ambao yeye anatamani wangekuwa wamemalizwa. ni mchafuzi tu ambaye anataka kuturudisha kwenye zile siasa za miaka 6 zilizotuumiza moyo na kutuondolea pesa mifukoni watu wakaishi kama mashetani. mpuuzeni au mfukuzeni chama muone ataenda wapo, hana kwa kwenda, hana uzoefu wa maisha, na hakuna atakayempokea mwenezi wa ccm wa 2020. anajifanay ni mwanaccm, lakini haijui ccm, aliokotwa tu akawekwa kwenye chama akaongoza watu waliokotolea jasho la damu, akawanyanyasa na sasaivi anawasema kuwa walitakiwa wamalizwe. poor him.
huyu hana tofauti na bashite, aliyesaidiwa na rizmoko na jk kupewa cheo, aliokotwa tu, lakini mwishoni akajifanya mzalendo sana kiburi kilipokuwa juu, akamsingizia rizmoko kuwa anauza madawa. hata kama alikuwa anauza, usaliti kwa mtu aliyekusaidia wa namna hii ni kwa mtu ambaye hana maana na haaminiki, anaweza kumsaliti hata mzazi wake wa kumzaa.
ila ninachowapendea watz ni kuwa, wana ugonjwa wa kusahau mno, polepole yule wa bunge la katiba, aliyebadilika akawa nyoka wa kijani kwenye uenezi na uchaguzi, leo anabadilika anataka kuwa kondoo anaonewa huruma na atapata wafuasi. wameshasahau na yeye akiamua atawashangaza tena kwa kituko kingine.
CrapWanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.
Ni kama Mwalimu kabisa!
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?
Paskali
Update
Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!
Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!
Wanabodi, Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini hayajaandikwa popote!. Baba yake alikuwa ni Chifu na alikuwa na wake 22!. Jee unawafahamu ndugu wengine wa...www.jamiiforums.com
Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?
Wanabodi, Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya Tanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya kuujua tuu ukweli halisi for getting to know,knowledge na wala sio kwa lengo lingine lolote baya kufuatilia maisha binafsi ya familia za watu. Watoto wengine wa Chifu...www.jamiiforums.com
Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa nawakubali sana!, John Pombe Magufuli, hakuwa ni miongoni mwao, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, moja ikiwa...www.jamiiforums.com
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
Wanabodi, So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais wetu Magufuli, na mara nyingi huwa hawajibiwi, huwa tunanyamaza tuu, lakini this time kwenye taarifa...www.jamiiforums.com
Unalinda legacy mkuu kimya kimya?Wanabodi,

Kwani Raisi Samia ndo alimteua polepole kua mbunge?imagine, haujawahi kua mbunge tangu uzaliwe, Rais Samia anakuteua ubunge wa bure ambao hata sio wa kupigiwa kura, unakula mshahara na marupurupu, usafiri everything, afu siku moja from nowhere unasikika ukiutangazia umma kwamba, wakitaka kukupora ubunge wachukue tu hauwaogopi. hivi kuna wangapi wangepewa nafasi yako hiyo ambao wangekuwa hata na adabu? wakati huo yule aliyekuteua hajakujibu wala nini na ni mtu mwenye mamlaka makubwa. vijana ndio maana wanashindwa kuaminiwa. vigeugeu sana.
Hii mada haina tija yoyote.Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.
Ni kama Mwalimu kabisa!
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?
Paskali
Update
Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!
Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!
Wanabodi, Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini hayajaandikwa popote!. Baba yake alikuwa ni Chifu na alikuwa na wake 22!. Jee unawafahamu ndugu wengine wa...www.jamiiforums.com
Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?
Wanabodi, Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya Tanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya kuujua tuu ukweli halisi for getting to know,knowledge na wala sio kwa lengo lingine lolote baya kufuatilia maisha binafsi ya familia za watu. Watoto wengine wa Chifu...www.jamiiforums.com
Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa nawakubali sana!, John Pombe Magufuli, hakuwa ni miongoni mwao, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, moja ikiwa...www.jamiiforums.com
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
Wanabodi, So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais wetu Magufuli, na mara nyingi huwa hawajibiwi, huwa tunanyamaza tuu, lakini this time kwenye taarifa...www.jamiiforums.com
Yaani unamfananisha nyerere na pole pole duh...Wanabodi,

Hakuna pahala ambapo watu walizuiliwa wasiseme, isipokuwa watu walizuiliwa kutoa matusi na vijembe na kejeli kwa wengine au kwa serikalii.Paskali kabla ya Polepole kuendelea kutupigia kelele aseme kwanza kwanini alitaka watu wanyamaze walipokuwa wakinyoosha nchi na sasa kwa nini yeye hataki kunyamaza wenzake wanapofungua nchi?
Haki ya kuongea anaitoa wapi ilihali wao hawakutaka wengine wapate haki hiyo alipokuwa akizunguka na Vee Eiteh?
HATA MIMI SIJAKUELEWA ULIYOANDIKA. NIWEKE KWENYE KUNDI LA WATANZANIA WENYE UFINYU WA AKILI.Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.
Ni kama Mwalimu kabisa!
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?
Paskali
Update
Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!
Usiyoyajua Kuhusu Nyerere: Shuleni Alikuwa Toto Tundu!, Almanusura Afukuzwe Tabora School!
Wanabodi, Leo tunapomkumbuka Mwalimu, naombeni niwadokolee machache kumhusu mwalimu ambayo sidhani kama wengi mliyafahamu, na kama wapo ni yale waliyoyafahamu kwa kuyasikia tuu lakini hayajaandikwa popote!. Baba yake alikuwa ni Chifu na alikuwa na wake 22!. Jee unawafahamu ndugu wengine wa...www.jamiiforums.com
Baba Mzazi wa Mwalimu Nyerere, Chief Burito alioa wake 22. Je, alikuwa na Watoto Wangapi?
Wanabodi, Wakati tukiadhimisha miaka 17 ya Tanzania bila Nyerere, kuna sisi baadhi yetu tuko kama Tomaso, tuna shauku ya kuujua tuu ukweli halisi for getting to know,knowledge na wala sio kwa lengo lingine lolote baya kufuatilia maisha binafsi ya familia za watu. Watoto wengine wa Chifu...www.jamiiforums.com
Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
Wanabodi, Naomba kuanza kwa kudeclare interest, japo mimi ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini sio mfuasi wa mwanasiasa yoyote, wa chama chochote, ila kuna baadhi ya viongozi nilikuwa nawakubali sana!, John Pombe Magufuli, hakuwa ni miongoni mwao, kwa sababu kadhaa wa kadhaa, moja ikiwa...www.jamiiforums.com
Kumbe watu wa Nyerere bado wapo na wana misimamo kama Nyerere. Hongera MFA, Dr. Mahiga kwa msimamo, tusikubali kuyumbishwa
Wanabodi, So mara moja wala mbili, media za nje zinaripoti taarifa negative kuhusu Tanzania. This time Shirika la Habari la Uingereza Reuters, limeripoti habari chafu kuichafua Tanzania na rais wetu Magufuli, na mara nyingi huwa hawajibiwi, huwa tunanyamaza tuu, lakini this time kwenye taarifa...www.jamiiforums.com
Mkuu Eng. Zezudu , mtu kufanana na mtu mwingine sio lazima wafanane akili!, akili ni nywele, kila mtu ana zake!.Nyerere alikuwa sio mjinga mjinga kama huyo mwamba
Kuwa na ufinyu wa akili sio kosa, hicho ndicho kiwango cha IQ ya mtu alichozaliwa nacho.HATA MIMI SIJAKUELEWA ULIYOANDIKA. NIWEKE KWENYE KUNDI LA WATANZANIA WENYE UFINYU WA AKILI.