Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

imagine, haujawahi kua mbunge tangu uzaliwe, Rais Samia anakuteua ubunge wa bure ambao hata sio wa kupigiwa kura, unakula mshahara na marupurupu, usafiri everything, afu siku moja from nowhere unasikika ukiutangazia umma kwamba, wakitaka kukupora ubunge wachukue tu hauwaogopi. hivi kuna wangapi wangepewa nafasi yako hiyo ambao wangekuwa hata na adabu? wakati huo yule aliyekuteua hajakujibu wala nini na ni mtu mwenye mamlaka makubwa. vijana ndio maana wanashindwa kuaminiwa. vigeugeu sana.
Samia aliteua lini Polepole?
 
Pole pole hajui achakipigania, ni kitu gani kwa sasa... kinachatakiwa ni kutoa msimamo wake ni upi . Je haendelee kushirikiana na kikundi cha wahuni, au kuachana nao moja kwa moja. kama falsafa yao ya kuondoa wauni ilishindikana...
Hanamlaumu nani wakati wenyewe ndio chanzo cha wauni kuendelea kushika dola
 
wanaomjua polepole, hawapendi hata kumsikiliza kwenye izo clip zake. ila ninyi ambao hammjui kiundani ndio mnashobokea. anafanya maigizo, ni mmoja wa watu walioharibu sana nchi hii kwenye uchaguzi wa 2020. ndio maana ana gurts hata za kusema jpm hakumaliza wote ambao yeye anatamani wangekuwa wamemalizwa. ni mchafuzi tu ambaye anataka kuturudisha kwenye zile siasa za miaka 6 zilizotuumiza moyo na kutuondolea pesa mifukoni watu wakaishi kama mashetani. mpuuzeni au mfukuzeni chama muone ataenda wapo, hana kwa kwenda, hana uzoefu wa maisha, na hakuna atakayempokea mwenezi wa ccm wa 2020. anajifanay ni mwanaccm, lakini haijui ccm, aliokotwa tu akawekwa kwenye chama akaongoza watu waliokotolea jasho la damu, akawanyanyasa na sasaivi anawasema kuwa walitakiwa wamalizwe. poor him.

huyu hana tofauti na bashite, aliyesaidiwa na rizmoko na jk kupewa cheo, aliokotwa tu, lakini mwishoni akajifanya mzalendo sana kiburi kilipokuwa juu, akamsingizia rizmoko kuwa anauza madawa. hata kama alikuwa anauza, usaliti kwa mtu aliyekusaidia wa namna hii ni kwa mtu ambaye hana maana na haaminiki, anaweza kumsaliti hata mzazi wake wa kumzaa.

ila ninachowapendea watz ni kuwa, wana ugonjwa wa kusahau mno, polepole yule wa bunge la katiba, aliyebadilika akawa nyoka wa kijani kwenye uenezi na uchaguzi, leo anabadilika anataka kuwa kondoo anaonewa huruma na atapata wafuasi. wameshasahau na yeye akiamua atawashangaza tena kwa kituko kingine.

Kwanza nilidhani umesoma naye au jirani yako na Ukiwa haki ya kututolea Siri za best yako. Ila ulipokosea na kunifanya nikuone kituko ulipozungumzia uchaguzi wa 2020 ndo nimejua you are nothing.

Lakini la Pili, hujui kumsikiliza mtu hasa hoja zake ndo busara yenyewe. Huwezi tuambia eti anayoongea Huyu Bwana Ni pumba tu, wakati unaona JF na mitandaoni habari ndo zake na Kuna watu wengi wanasumbuka ambao ndo nahisi waheshimiwa wako wanajitahidi kusema vijembe. Kweli mtu asiye na maana Aseme watu wastuke?

Acha wivu. Mtz mwenzako katoa hoja zake. Kama wewe mchepuo wako unabase kwa Yeriko au Mbowe au Lissu, nenda huko .
 
Watanzania wamevurugwa hakuna anaemuelewa mtu، kama watu hawakumuelewa JPM، na wengine wapo hawamuelewi mama، na jakaya hawakumuelewa, mkapa pia hawakumuelewa, yani huwa hatuelewi, hua tuko hivyo
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!

Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.

Ni kama Mwalimu kabisa!

Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.

Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?

Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.

Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!

Crap
 
Unalinda legacy mkuu kimya kimya?
 
imagine, haujawahi kua mbunge tangu uzaliwe, Rais Samia anakuteua ubunge wa bure ambao hata sio wa kupigiwa kura, unakula mshahara na marupurupu, usafiri everything, afu siku moja from nowhere unasikika ukiutangazia umma kwamba, wakitaka kukupora ubunge wachukue tu hauwaogopi. hivi kuna wangapi wangepewa nafasi yako hiyo ambao wangekuwa hata na adabu? wakati huo yule aliyekuteua hajakujibu wala nini na ni mtu mwenye mamlaka makubwa. vijana ndio maana wanashindwa kuaminiwa. vigeugeu sana.
Kwani Raisi Samia ndo alimteua polepole kua mbunge?
Heb mjibuni slowslow hoja zake, muache kumchonganisha na mama.
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!

Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.

Ni kama Mwalimu kabisa!

Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.

Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?

Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.

Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!

Hii mada haina tija yoyote.

Kwanza, Nyerere wa Azimio la Arusha ni binadamu tofauti kabisa na Polepole wa vieite. A thrift statesman and an extravagant self-serving buffoon.

Halafu, kwa bahati mbaya, Nyerere hakuwa mtakatifu kama wengi wanavyopenda kuamini. Azimio la Arusha lilikuwa na mabaya mengi. Aligoma hata kufafauna itikadi ya “ujamaa” ilikuwa ina maana gani hasa. Hakutaka mjadala wala kukosolewa. Ni baada ya kung’atuka ndio akaanza “kukiri” kuwepo makosa kwenye utawala wake na kuanza kuwasiliana na baadhi ya aliowasulubu kiuonevu - kimya kimya.

Polepole katoka kwenye harakati za kupigania utawala bora na kuwa muwezeshaji wa utawala uliokanyaga katiba, sheria, na haki za binadamu huku akifurahia ufujaji wa rasilimali za taifa. Sasa anajaribu kutafuta tena heshima aliyopoteza baada ya sponsor kuondoka!

Manufaa gani tunapata kuwalinganisha watu hawa?
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!

Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.

Ni kama Mwalimu kabisa!

Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.

Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?

Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.

Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!

Yaani unamfananisha nyerere na pole pole duh...
 
Paskali kabla ya Polepole kuendelea kutupigia kelele aseme kwanza kwanini alitaka watu wanyamaze walipokuwa wakinyoosha nchi na sasa kwa nini yeye hataki kunyamaza wenzake wanapofungua nchi?

Haki ya kuongea anaitoa wapi ilihali wao hawakutaka wengine wapate haki hiyo alipokuwa akizunguka na Vee Eiteh?
Hakuna pahala ambapo watu walizuiliwa wasiseme, isipokuwa watu walizuiliwa kutoa matusi na vijembe na kejeli kwa wengine au kwa serikalii.
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa! Ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere! Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!

Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea.

Ni kama Mwalimu kabisa!

Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.

Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga"

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?

Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.

Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere! Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!

HATA MIMI SIJAKUELEWA ULIYOANDIKA. NIWEKE KWENYE KUNDI LA WATANZANIA WENYE UFINYU WA AKILI.
 
Huko CCM asilia wanajifanya wana akili sana lakini ndio mabomu! Hao ndio walioiua CCM hadi ulikuwa ukivaa uniform zao unazomewa Kariakoo. Hawa akina Nape hawana akili wala uwezo wa kujibu hoja za HP!

HP atasumbua sana sana! Uzuri kuna watu smart wanaomuunga mkono. Ndio tunajua JPM alikuwa na mapungufu yake lakini huu udhalilishaji wa makusudi kwake ni dhahiri kuna mkakati wa kutaka kumfuta kabisa kichwani mwa Watanzania! Mtu kama Bulembo kwa umri wake si bure aongee yale tena akimtaja Magufuli kwa jina!

Sasa wapinzani watapitia humo humo ili kuwavuruga zaidi mrudi mlipotoka! Someni maoni ya viongozi wa Chadema, ni dhahiri wameshajua wapi wachochee kuni!
 
Nyerere alikuwa sio mjinga mjinga kama huyo mwamba
Mkuu Eng. Zezudu , mtu kufanana na mtu mwingine sio lazima wafanane akili!, akili ni nywele, kila mtu ana zake!.
Polepole anafanana na Nyerere, anavyoongea, he speaks in parables, hivyo only the few privileged ones ndani ya CCM ndio wanaomwelewa. Ameamua kuifuata falsafa ya Mwalimu, "Nitasema kweli daima". Anachosema ni kweli japo ni ukweli mchungu.
P
 
Back
Top Bottom