Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

Mfilisti

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2015
Posts
3,729
Reaction score
19,466
Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato.

Wengine wanasema: “Uzuri ni wa wale wenye uwezo wa kuutunza.”

Swali:
Kuna uzuri ambao mwanaume maskini hapaswi kuutamani?

Au ni uoga tu wa vijana wanaojitafuta kupigwa vizunga?
 
Screenshot_20250709-165419_X.jpg
 
Pisi kali ni kwa matajiri au wenye pesa..
Full stop.
Na hapa ndipo mtego ulipo.

Hao wenye vipato asilimia kubwa hizo "pisi Kali" hawaziweki ndani,Huwa ni kwa ajili ya show off na kujifunza dhambi mpya ambazo mke wa ndani hawathubutu kumfanyia.

Kuja kustuka pisi Kali imeshsturn 30 na alafu kiwango kimeshuka.

Anakuwa bed to bed midfielder wa mkopo.
 
😂😂😂😂😂 SH unasemajeee? Nimecheka hatariiii.
 
Back
Top Bottom