HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Wasiwasi Wako Tu......
Why umecheka Coca?😂😂😂😂😂 SH unasemajeee? Nimecheka hatariiii.
Umenisoma?
Basi tyuuh, 😂😂😂Why umecheka Coca?
😂😂😂😂Izo pisi kali zenyew saiv soko limeshuka njaa kali masela wanajipigia tu na maisha yanaenda..!
😂😂😂😂😂Ni uoga Tu WA wanaume,wanaume wanamuogopa mwanamke mzuri Sana, au aliyejipata,Bora hata huyo mzuri hawatamzodoa Sana aliyejipata Sasa🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Hapo kwa bibie hakuna kitu utakutana na mto wami
Kujiamini tu, pisi niliyonayo ilinikuta nikiwa majalala mbaya mno nimechafuka ad kwenye kope ila alinielewa.
Umesema vyema, mwanaume hutakiwi kujiunderate hata siku moja. Upisi kali kwa mwanamke ni jambo la muda mfupi tuKujiamini tu, pisi niliyonayo ilinikuta nikiwa majalala mbaya mno nimechafuka ad kwenye kope ila alinielewa.
Nakuja inboxNi uoga Tu WA wanaume,wanaume wanamuogopa mwanamke mzuri Sana, au aliyejipata,Bora hata huyo mzuri hawatamzodoa Sana aliyejipata Sasa🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Kweli mkuu mimi nachoamini mwanamke ni mwanamke tu, kuwa mzuri sana hakuondoi ile hulka yake ya ukike. Kama mwanaume kujiamini ni muhimu sana na ni tabia ya kiume haswa.Umesema vyema, mwanaume hutakiwi kujiunderate hata siku moja. Upisi kali kwa mwanamke ni jambo la muda mfupi tu
Unaweza kumuona pisi lakini mapenzi yanamtesa, kuna wana hawajibu meseji wala kupokea simu zake wamemchoka.
Anaishia kutafuta mwanaume ambaye ni a shoulder to cry on
UmemalizaKweli mkuu mimi nachoamini mwanamke ni mwanamke tu, kuwa mzuri sana hakuondoi ile hulka yake ya ukike. Kama mwanaume kujiamini ni muhimu sana na ni tabia ya kiume haswa.
Shukrani kakaPole sana mkuu 😁