Matajiri wanamiliki Pisi Kali kama wanavyomiliki magari makali ila hayo magari yanaendeshwa na dereva ambaye si mmiliki ila anajua kuendesha. Umenisoma?Pisi kali ni kwa matajiri au wenye pesa..
Full stop.
Nimekupataaaaaaa!! 😂😂😂😂😂Matajiri wanamiliki Pisi Kali kama wanavyomiliki magari makali ila hayo magari yanaendeshwa na dereva ambaye si mmiliki ila anajua kuendesha. Umenisoma?
Haswaaaa. 😂😂😂😂😂inategemea😀😀😀😀
mtakazana pisi kali za matajiri ila wanaowagongea ndo hao maskiini
Na hapa ndipo mtego ulipo.Pisi kali ni kwa matajiri au wenye pesa..
Full stop.
😂😂😂😂😂 SH unasemajeee? Nimecheka hatariiii.Na hapa ndipo mtego ulipo.
Hao wenye vipato asilimia kubwa hizo "pisi Kali" hawaziweki ndani,Huwa ni kwa ajili ya show off na kujifunza dhambi mpya ambazo mke wa ndani hawathubutu kumfanyia.
Kuja kustuka pisi Kali imeshsturn 30 na alafu kiwango kimeshuka.
Anakuwa bed to bed midfielder wa mkopo.
Pole sana mkuu 😁Manzi angu ni mkali kinoma, alafu ndio ileeee haomba hela wala hana shida, shida ni moja ni feminist
Kipimo cha hiyo pesa kikoje mkuuKuna pisi yaani bila pesa huwezi zimiliki hiyo ipo wazi, ndiyo Dunia ya kibepari ilivyo