Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

Woga wenu tu
Pisi kali nyingi ziko singo, zitongozeni msiogope
Wengi hua tunajihukumu pia kuwahisia hawa pisi kali kuwa watakuwa na watu wao wenye hadhi fulani ila kiukweli wengi hawana watu so ukijiamini ukam face wengi wanaeleweka. Speaking from experience
 
Nilishawahi kumtimbia demu MmOJA MKALI babake halaf nikamng'oa mzeeiya, HAPO ndipo jina la brother Alex lilipo anzia, alafu mi NILIKUA NAONA KAWAIDA TU, JAPO WATU walikua wanan promote wenyewe



Kwishaaaaa
 
Uoga ndo unachangia muda mwingine, zipo pisi kali halafu hazinaga kujiona wala nini.
 
Tunagopa competition maana kila jicho la masela Lina mtazama yeye tu, ni ngumu sana kukwepa vishawishi.
 
Pisi kali na level ya maisha yake ndio huamua anakuwa na nani kwenye mahusiano.

Kama ni pisi na ina maisha ya uchumi wa kati huyo ni kiwango cha wengi, ila ukikuta pisi kali halafu maisha ya juu, huyu ameweka chujio tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…