Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

Wajumbe wa baraza hilo ni nani? Tuanzie hapo kwani inawezekana ni watu ambao wameshiriki kutengeneza hali hii na siyo rahisi kukubali kuwa wamekosea.
 
2. Wananchi wameanza kuonyesha Dalili za kuona Bunge, Mahakama na serikali si vyombo vyao tena bali ni vya kikundi cha watu wachache wenye masilahi yao.
Huu ndiop ukweli, na ndio maneno yanayozungumzwa waziwazi hadi vijijini!
Na tatizo kubwa ni rushwa, ufisadi na wizi unaofanywa na watawala!
 
Ningekuwa moderator ningeku BAN life kabisa hapa JF. Watu ka ninyi sijui kwa nini mlizaliwa. Muacheni Mama afanye kazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania. Bila CCM hakuna amani, ndiyo maana tunaendelea kushinda chaguzi zote.
Hii ndio ile kauli ya ukimvaa tunakuvaa!
Sasa kwenu mada hii huyo mama yenu ametajwa wapi, amezuiliwa wapi kufanya kazi?
 
Ningekuwa moderator ningeku BAN life kabisa hapa JF. Watu ka ninyi sijui kwa nini mlizaliwa. Muacheni Mama afanye kazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania. Bila CCM hakuna amani, ndiyo maana tunaendelea kushinda chaguzi zote.
Kwa uwazi kabisa, wewe ni mnufaika wa huu uongozi mbovu.
Mnampoteza kwa kumpotosha Hangaya kwa manufaa yenu.

Ole wenu maana watanzania sio wajinga tena kama mnavyofikiri.
 
Good analysis,kuna ombwe la uongozi nchini.Huwa nashangaa sana kumuona Rais ananyamaza kimya pindi migogoro inapotoakea nchini kama hayupo vile wakati yupo.Kwa mfano mgomo wa Wafanyabiashara Kariakoo alikaa kimya na baadaye akaja Majaliwa ambaye katuliza tu munkali lakini ule Mgogoro upo na utaendelea.Kingine ni sakata la Bandari,watu wamefikia hatua ya kujadili mpaka udini lakini yeye yupo kimya!
 
Maoni yako ni mazuri kwa vile asilimia kubwa ya Wazanzibar wameungana kuihujumu Tanganyika kwa kisingizio cha CCM na Serikali Tawala basi Wananchi wa Tanganyika wanastahili kufanya haya yafuatayo mfano Mwabukusi alipokamatwa tu hapo hapo wananchi wa Mbeya kuanza kudeal na viongozi waliopitishwa na Magufuri 2019 na 2020 pia Polisi wanaopatikana maeneo hayo yaani kushikwa kwa mtu mmoja watu mia wanateketea basi Serikali ingaliwasikiliza wananchi wake na kufanyia kazi kasoro zinazosumbua wakati huo.
 
Sikio lakufa halisikii dawa. Kinana, Wassira wana miaka 90 hawana cha kupoteza
 
Umenena vyema...
Tatizo, sikio la kufa halisikii dawa
 
Hayo wanayoyalilia ccm na policcm na wafuasi na kupigia kelele na kusema nchini kuna ugaidi na uhaini naomba Mungu yatokee kwelikweli hasa hata sasahivi ikishatokea akili zao zitawakaaa sawa tena yaingie mpaka ndani huko kwa maccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…