Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

Safi sana, na ndio maana nchi yetu imetulia sana. Kwanza sisi wananchi kwanini tuwafuatilie viongozi ili iweje kwa mfano, hata kama wanaiba kwani kaniibia mimi mwananchi.

Nchi raha sana hii kutawali.
Kwa waizi kama wewe na wajinga ni raha sana kutawala.
 
Hata wakati wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,hakuwachekea wavunjifu wa amani.Aliwaonyesha chamoto,hata wenzake aliodai nao uhuru,hakuwachekea,cha moto walikiona
umesema vyema wakati wa Nyerere leo ni nyakati nyingine kabisaa na kuna mambo huendana na nyakati, nyakati ikifika imefika! lazima yatokee
 
Me mbona sioni chochote au kwa kuwa nashinda bar kutwa nzima...naona raia wanakula konyagi,k vant,smart,safari,kilimanjaro,Heineken, savana,caste lite na serengeti...na mara moja moja wanapopata hela wanachoma chama na kucheza mziki...naona wanasikitika tu hawana hela...ila mambo ya sijui mapinduzi au kuandamana ni stories tu kusogesha siku maisha yasonge
Pole masikini, unaweza kutazama usione au ukatazama na kuona, muulize Joshua na Kareb kwenye Agano la kale
 
Back
Top Bottom