ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yasemwe hapo hayo yanayosemwa mbona unakwepa kwepa ,kwani Mimi naishi mbinguni kwamba sifanyi hayo unayofanya wewe?Udhaifu wako ktk mjadala upo too personal.
Mimi napanda daladala, naendq sokoni na pia nakunywa kahawa huku nikiangalia soka la timu za mtaani.
Thubutu kuwa kama mimi kwanza ili uyafehemu ya wananzengo.
Itisheni kura ya maoni leo uone mziki wake. Hata wewe haupo wima na Hangaya unajikosha tu