Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

Ukisoma maneno ya mitandao vinywele vinaweza sisimka ukashindwa kutoka hata nje ilihali life linasonga kama kawa na watu wanakula bata.
 
Well said Mkuu, na wakusikie na waufanyie vema ushauri wako. Ni wa Bure. Hatutaki gharama za damu. Waamke na wafanye kazi zao haraka sana bila chenga chenga- wasije sema hawakusoma bandiko lako
 
mitaani ni tofauti wananchi wanafanya shughuli zao akuna ugomvi wala chuki,ukiingia jf tu ndio unakuta hizo mambo.
 
Nipeni bandari zangu.
 
Tunayo makanisa mengi ya kiroho, yanatosha kuponya roho za watanzania kwa kupokea miujiza yao.

Siku ukiona makanisa yanaanza kuzilaumu taasisi na mifumo yao basi jua ndio tunaanza kuharibikiwa. Tofauti na hapo bado sana.

Tusiwe waoga.
 
Leo umeandika ya maana sana na umewakilisha mawazo ya wengi kama maudhui yalivyo ijapokuwa umeweka muhtasari tu maana yapo mengi mno wanayopitia wnanchi lakini wanazimwa kwa maslahi ya watawala
 
Umefanya kazi nzuri kama National inteligence troop
 
Wenye nia mbaya wakome, jeshi la polisi litawashughulikia, Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni CCM.
 
Tena mzalendo sana. Tumuunge mkono Mama Samia. Mahaini wadakwe wote wafungwe au kunyongwa
CHAWA maana yake ni uchafu, uadui, chukii, unyonyaji, kujipatia kipato kisicho halali na kisababishi cha hasara ya kiuchumi, kiafya na kiusalama.

Kama unajiita wewe ni chawa basi sifa zako na tabia zako ni hizo hapo juu
 
Hongera Mwanakijiji ,sijui kama watakusikiliza mana matumbo yao ndyo mbongo zao.Hali si hali...sana
 
Ila kwa nchi fulani,tusiombe kabisa
Machafuko yatoke maana yakitokea
Kuja kutulia itakuwa shuguli sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…