Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

Hanaweza alikuwa na magonjwa yote ya ulimwengu chini ya jua..., ila cause of death ni nini ?

Naweza kuwa nina cancer ambayo ni masaa matatu ya kuishi ila nikipigwa risasi sidhani kama cancer itaongelewa sana kwenye kifo changu (kwahio hapo ni wataalamu ndio watakuja na cause of death)
 
Hiyo homa ya mapafu c tuliambiwa wazr mkuu ndo mwenye ruhusa ya kuitangaza?
Alafu kiwazr kipanyachawene kimekaa kimya tu. Shit!
Lkn Watz siyo wajinga muelewe🤗, phambafu nyieeeee
 
Uandishi gani huu wa habari!
====
Toa details za wahusika, mazingira yalikuwaje, ndipo utoe taarifa ya tukio zima. Siyo wote wanaelewa unayoelewa juu ya mkasa huu. Hata hivyo asante sana mleta mada kwa kutujuza uwepo wa mkasa huu.
====
Moderators, mkiwa mnapata wasaa muwe 'mnatupiga shule', namna ya kuwasiliza taarifa hapa JF.
 
I
Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi

View attachment 1689757
Ingekua nchi ya Inaongozwa na binadamu angalau ingeundwa tume ya Rais sio mkuu wa Mkoa anateua watu wanne halafu wanasema ni tune Kisha eti alikufa kwa Homa
Mitano tena
Wallah uchungu sana niliiona video
 
Attachments

  • IMG_20201222_213914.jpg
    50.6 KB · Views: 0
Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi

View attachment 1689757
Dah Sasa hii inatosha Hawa askari wasubiri majibu ya kamati wahuaji wakubwa
 
Asee mtu kaburuzwa kwenye lami nyie mnasema alikuwa ana homa ya mapafu?
 
Serikali iwachukulie hatua kali polisi hao.. Uhai wa binadamu sio mzaha hivyo. Serikali isifanye mzaha kabisa na suala hili
 
Serikali ifike hatua waache siasa kwenye roho za watu.video inaonyesha sababu iliyopelekea marehemu kufikwa na umahuti wake.ukimsikiliza mtoa taarifa Kwa makini hakuna sehemu alipogusia kinaga ubaga kuwaelezea hao waliojivyika kazi ya Israeli mtoa roho

Ila damu yake haitaenda bure Kwa hao wauaji wanaosingizia gari ilikuwa inayumba yumba kisha ikasabisha ajali ya kugongana na gari nyingine

Kwenye video gari inaonekana imepaki pembeni ni haina hata mkwaruzo wa kusingizia

R I P
 
Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi

View attachment 1689757
Wamepata wapi vipimo?
Au hii ndiyo tume aliyo unda mkuu wa mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…