Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekua nchi ya Inaongozwa na binadamu angalau ingeundwa tume ya Rais sio mkuu wa Mkoa anateua watu wanne halafu wanasema ni tune Kisha eti alikufa kwa HomaNa kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi
View attachment 1689757
Dah Sasa hii inatosha Hawa askari wasubiri majibu ya kamati wahuaji wakubwaNa kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi
View attachment 1689757
Dua la kuku halimpati mweweNilijua tu lazima wachengeshe
Damu iliyo mwagika haitawaacha salama
Wamepata wapi vipimo?Na kwamba walipomkamata waligundua kwamba anaumwa ambapo madereva wenzake walipompeleka kwenye hospitali ya Chimala aligundulika kuwa na homa ya mapafu, hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Jerome Ngowi
View attachment 1689757