Ester505
JF-Expert Member
- Jul 14, 2020
- 793
- 1,049
Kivipi??Mkuu usidhani wote ambao hawajaoa,hawatumii viungo vyao,tena yawezekana wanatumia viungo vyao kwa ukamilifu zaidi ya aliyeoa.
Fanya utafiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi??Mkuu usidhani wote ambao hawajaoa,hawatumii viungo vyao,tena yawezekana wanatumia viungo vyao kwa ukamilifu zaidi ya aliyeoa.
Fanya utafiti.
Jibu zuri Sana hili.. 🙏Kiranga ameelezea swala la Uhuru wa watu kuamua jinsi wanavyotaka kuishi bila kuingiliwa.
Hivyo viungo kazi zake zinaweza kufanyika bila hata KUOA au KUOLEWA.
Wewe ukithibitisha uchawi upo,na Mimi nitakuthibitishia Mungu yupo.Huyo Mungu uliyemtaja huwezi kuthibitisha yupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Late 20's ndoa ni kwa wanawake
Mwanaume anatakiwa aoe kwenye late 40's au early 50's
Kwani wapi nilisema uchawi upo?Wewe ukithibitisha uchawi upo,na Mimi nitakuthibitishia Mungu yupo.
Ok,tizama ufanyaji kazi wa mwili wako.Kwani wapi nilisema uchawi upo?
Kwa nini unataka nikuthibitishie uchawi upo wakati mimi sijawahi kusema uchawi upo?
Sababu zilezile zinazonifanya nisikubali uwepo wa Mungu ndizo hizo hizo zinazonifanya nisikubali uwepo wa uchawi.
Thibitisha Mungu yupo.
Ufanyaji kazi wa mwili wangu ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hakuuumba mwili wangu.Ok,tizama ufanyaji kazi wa mwili wako.
Pili,pumzi yako.
Pole Sana.Ipo siku utakuja kujilaumu kwa FIKRA zako hizi na mawazo yako haya.Ufanyaji kazi wa mwili wangu ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hakuuumba mwili wangu.
Mwili wangu unachakata chakula na kufanya nishati kwa mfumo ambao hauna ufanisi wa 100%, ndiyo maana nakunya, natoka jasho, hizo zote ni wate products, waste products ni ushahidi wa mfumo kukosa ufanisi. Mungu mwenye sifa hizo asingeumba viumbe wenye miili yenye ufanisi wa hali ya chini hivi.
Mwili wangu unapata magonjwa, naugua. Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba viumbe wanaopata magonjwa na kuugua.
Mwili wangu unakufa, natengana na watu ninaowapenda bila kutaka kwa sababu ya udhaifu wa mwili wangu.
Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote angeumba mwili wangu, asingeufanya uwe unaweza kufa bila mimi kutaka.
Pumzi yangu ina uwezo wa kupitisha vidudu vya magonjwa mengi sana, Covid-19 ni mfano mmoja wa hivi karibuni tu.
Pumzi hii ingekuwa imeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, isingekuwa na mwanya wa kutuingizia magonjwa mengi sana.
Bado hujathibitisha Mungu yupo.
Umetoa mambo ambayo tumeona hayana uhusiano wowote na Mungu, logical non sequitur fallacy.
Kujilaumu tu ,kunadhihirisha huyo mungu anaefanya watu anaowapenda wajilaumu ana akili za mdoli.Pole Sana.Ipo siku utakuja kujilaumu kwa FIKRA zako hizi na mawazo yako haya.
NAKUHURUMIA SANA.
Bado hujathibitisha Mungu yupo. Unahubiri dini tu.Pole Sana.Ipo siku utakuja kujilaumu kwa FIKRA zako hizi na mawazo yako haya.
NAKUHURUMIA SANA.
Ha ha ha ila mwanamke akitaka jambo lake litimie litatimia tu unanikumbusha mwanamke wangu mmoja hivi kipindi yupo na mimi alikua akishabikia Simba sasa hv yuko na me mwingine anashabikia Yanga ha ha ha raha sana!!Ukiwa vizuri hata wanawake waliopinda waakaa mkao wa kuolewolewa n wewe.
Akijua unapenda dini atajifanya mlokole.
Akijua unapenda miziki anajifanya msanii.
Akijua unapenda simba, atanunua na jezi inadvance ili akae kisimbasimba.
Hassan na Hance wapi na wapi ndugu "wasilamu"?Kikristo. Sio kikiristo, sisi sio wakiristo ni wakristo!! Waislam wote mnashida hii. Yesu ndio kila kitu.
Umemaliza mkuuUkiwa vizuri hata wanawake waliopinda waakaa mkao wa kuolewolewa n wewe.
Akijua unapenda dini atajifanya mlokole.
Akijua unapenda miziki anajifanya msanii.
Akijua unapenda simba, atanunua na jezi inadvance ili akae kisimbasimba.
Mashoga haoHi,
Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe.
Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta ya 150k kwa wiki, kwenye Subaru Forester yake, ila mke hana, hata wakija wadada wa field tokaa chuo kwenye kampuni, wanaume single bachelors hawajisumbui kuwatongoza, hawatongozi hata female coworkers, utakuta tena kijana anakwambia ana rafiki yake anafanya kazi tra, kipindi cha chuo huyo rafiki alitamani kuoa, baada ya kupata hela, mtu anaghairi kuoa, coz anadai hana mpango huo wa kuja kuoa.
All those guys naowasema ni seemingly decent and good guys, sijajua wana mapungufu gani, hela wanazo, wako smart, hawana sura mbaya wako in their late 20's ila mbona hawataki kuoa na hawana wake, hata kutongoza hawajisumbui..
Ni aina ya wanaume ambao wanawake wanaenda kuombewa kwa mwamposa ili wawapate.
Sijajua future ya ndoa itakuaje kwakweli, siamini kama hao wanaume hawataki mke, hakuna mwanaume mwenye hela asietaka a good wife by his side. DeepPond Zemanda mshamba_hachekwi dronedrake Extrovert mawazo yenu kwenye hili tafadhali
Haujakutana na mtu sahihi badoKuoa ni project ambayo sina bahati nayo... Kila siku huwa najiuliza kwa nini sijaoa but sijawahi kupata jibu... Hii kitu sijui imekaaje,.....
Mfano mzuri ni kama unakuta wewe may be ni mkristo ungependa uokoke umwabudu mungu full time lakini unakuta huokoki na sababu hujui zinazokukwamisha.. Huo ni mfano wangu kwenye kuoa unakuta napenda nione but hiyo project haitimii na cjui sababu nini.
Aisee, acha mwanaume naye tutulize akili zetu. Wanawake baada ya muda fulani unawaona wakawaida sana. Ukishaoa maendeleo hufanyi ndicho nilichosisitiziwa. Time to develop myself na kuenjoy life without stress.Hi,