Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Usiniambie!
 
Dah mambo ninayoyapenda Mimi jobless..
Niko hapa maskani nimekusanya Kijiji nakula nondo apa uku nazitema.
 
Kada ya TISS wengine wanafanya kazi za hatari, wakiwa undercover, kumtaja jina ni ku blow his cover hivyo kuna hatarisha maisha yake.
P

Tatizo kuna wafungua hawa kwasababu wanafanya kazi mbaya kwa taifa badala ya kusaidia taifa wenyewe wanajikita kwenda kuaribu vyama. Sasa aje hadharani akatae kama ni usalama tutoe zaidi kama ni makini anyamaze tu
 

Kama wanafanya vitu ambavyo sio manufaa ya uma ni kazi yetu kuwaweka wazi.

Tanzania hii ina tekateka, na hawa jamaa sasa wamekuwa makada badala ya kufanya kazi ya nchi sisi tuta toa hizo musk zao polepole hasa kwa wale wanafiki
 
Kumbe Sultani Mbowe nae ni TISS level ya informer? kwahiyo anatuuza Makamanda kwa ajili ya posho? Mangi ni Mangi tu kwenye shilingi.


Lissu hana kashfa ndio maana walipanga kumuua, wajumbe twendeni na Lissu.
🤣🤣🤣🤣 Acha kumkosea heshma sultan ..hawez kua na cheo Cha informer bana huko teeth..
Yaani sultan awe sawa na sie wa kwenye vijiwe vya kahawa anapeleka t umbea..
Sultan lazma atakua dp state
 
Hilo kosa la jinai ni kwa mujibu wa kifungu kipi? Hebu tuletee justification
 
Mnawaoverrate sana hao jamaa , na CCM sasa imewawekea kinga ya kutoshtakiwa 2023 basi ndio mtanyooka 2025 !

Hao wanaibeba CCM kupita maelezo bila hao CCM haipo , pengine siku ikifanyika reform itapatikana taasisi yenye heshima kama nchi zinazojitambua.
 
Kuna kiongozi mmoja wa dini mwenyeji wa Kanda ya juu kusini anapotokea malkia wa jumba la watunga sheria nae ni mmoja wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…