Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Ilitakiwa kila mtanzania aishi kama Israel na north Korea. Akifika darasa la tatu anaanza rasmi mafunzo ya mtaala wa kijeshi na uzalendo kwa kuilinda nchi yake. Sijawahi kusikia muisrael msaliti kwa nchi yake. Usalama wa Israel unawahusu waebrania wote. Ipende nchi, itumikie na kuilinda.
Tanzania badala ya uzalendo usalama sasa ni uchawa. Yaani usalama ni CCM sio Tanzania
 
Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Usalama wa taifa nchi hii sijui huwa nawachukuliaje na kwa vitendo vyao vya kuteka na kuua raia wasio na hata rungu
 
Wakuu wa wilaya

Wakuu wa mikoa

Mabalozi

Viongozi wa vyama vya upinzani...

...na wengineo mara nyingi huwa ni TISS. Zamani walikuwa wanaandaliwa vizuri hawatambuliki ila hawa wa sasa mkiwa baa tu mkazinguana anatoa pistol na kuanza kuropoka...

Hata humu JF nawafahamu kwa asilimia 100 mabinti watatu na bro mmoja (siyo Pasikali)...😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
You can't be serious chalamila naye ni TISS
 
R
 

Attachments

  • IMG_20250102_182657.jpg
    IMG_20250102_182657.jpg
    60.3 KB · Views: 2
TID kigogo warioba Top in dar ni Tiss?
hawa wanamuziki tusiwachukulie poa huenda wengi wao ni TISS, unakuta mwanamuziki anaimbaimba ushenzi, mara wengine wanaimba injili kumbe ni TISS. Naambiwa hata viongozi wa dini nisiwachukulie poa, wengi wao ni TISS
 
Back
Top Bottom