StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Huyu hata Mimi naamini ni TEETH😄Hata TAL ni usalama wa Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hata Mimi naamini ni TEETH😄Hata TAL ni usalama wa Taifa
Influential people 😄hawa wanamuziki tusiwachukulie poa huenda wengi wao ni TISS, unakuta mwanamuziki anaimbaimba ushenzi, mara wengine wanaimba injili kumbe ni TISS. Naambiwa hata viongozi wa dini nisiwachukulie poa, wengi wao ni TISS
Ni kweli Ila hii career ipo overrated Sana .hawa wanamuziki tusiwachukulie poa huenda wengi wao ni TISS, unakuta mwanamuziki anaimbaimba ushenzi, mara wengine wanaimba injili kumbe ni TISS. Naambiwa hata viongozi wa dini nisiwachukulie poa, wengi wao ni TISS
Na ni Mzalendo kweli kweli ??! 🙄Huyu jamaa ndie the most impactiful minister kwenye cabinet ya Samia, ndiye the brain behind Dira ya Taifa 2550!.
This is a very big thing!.
P
Majuku ya usalam wa Taifa ni yapi ?Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Mkuu pasikali ,kwa TZ kama ukitaka kuua viongozi unaweza ukaua vizuri tu ,sema waTZ hawana chuki za namna hiyo.iungozi aliyeuwawa kwa risasi ni Karume na Dr. Kleruu tuu, then Tiss wanafanya kazi nzuri sana.
Duh jamaa kawaza mambo ya 2550? Basi kichwa sana.Huyu jamaa ndie the most impactiful minister kwenye cabinet ya Samia, ndiye the brain behind Dira ya Taifa 2550!.
This is a very big thing!.
P
Ndugu tumia elimu yako vizuri na siyo kuwahadaa watu ama kama hujui ama huna uhakika usiwe unaandika. FIU sio TISS ila kunaweza kuwa na baadhi yao waliopenyezwa kwa ajili ya mission walizotumwa, wapo watumishi wengi tu wa FIU ambao wameajiriwa na Sekretarieti ya Ajira. Hii ni sawa na useme watumishi wote waliopo Ikulu ni TISS wakati hata wa kawaida wanaoajiriwa au kuhamishiwa kutoka Taasisi nyingine za Kiserikali wapo pia.Mkuu Mundu, Kamundu , kwa lengo la kusaidiana tuu, kukusaidia wewe na wengine wasiojua, kumtaja kwa majina mtu yoyote wa TISS na kumu expose kuwa ni TISS, huyo mtu akiwa ni TISS kweli, then kumtaja kwa jina ni kosa la jinai!.
I can just imagine, kama sisi tuliajaliwa jicho la tatu, ma Tiss tunawajua kwa kuwaona tuu sura, je tungewataja ma Tiss wote tunaowajua, tungebaki salama?
Huwezi kutoboa boti mnayasafiria. Ikizama mnakufa wote!, au kulikata tawi la mti uliolalia!.
Kwa taarifa yako ma TISS ni wengi kuliko unavyodhania hata Sultani naye ni Tiss, hata Mkuu nanilii pia ni Tiss
Ila sio kila Tiss ni Tiss
Kuna Tiss wa aina 3.
NB. Mimi nina damu ya TISS kwenye veins zangu kwa wazazi wangu wote wawili, na tumezaliwa 8, haiwezekani sisi wote nane tukawamo!. Kunidhania mimi ni mmoja wao rukhsa na angalia hapa ninavyoisifia ofisi yangu TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
- Staff hawa ni waajiriwa, wafanyakazi wa Tiss, ni watumishi wa mishahara, hawa staff wako wa aina mbili, kuna open staff, hawa wanajulikana kama DGIS na maofisa wote wa TISS wanaojulikana kama RSO, ma DSO etc, hawa kuwataja hakuna tatizo, ila kuna ma SS, secret service, hawa hawatakiwi kujulikana, na ikitokea ukawajua, huruhusiwi kuwataja!.
- Viongozi wote, wateuliwa wote na watendaji wote, hawa ni ma Tiss kwa mujibu wa positions zao, wakiwemo mabenki yote yana mtu wa kitengo cha FIU hawa ni ma TISS, taarifa ya FIU lazima ipite kwa bank manager hivyo mameneja wote wa financial institutions zote ni ma Tiss.
- Informers, hawa ni watu wa kawaida wanakuwa recruited kuripoti Tiss na kulipwa posho tuu, huku wakiendelea na shughuli zao.
Hapa namtishia bosi wangu Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe
Na kunapotokea matishio ya kiusalama, badala ya kuripoti ofisini, mimi naripoti jf Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?
Boss wa TISS ni CinC, mwenyewe amepania ile mbaya 2025-2030, mtumishi wa idara anaweza kweli kuandika hivi ?. Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!
Boss wako anajipanga kwa mserereko wa 2025, kijana wake anaweza kupandisha kitu kama HII?.
P.
Nchi hii Elimu kwa watu iko chini sana !Ndugu tumia elimu yako vizuri na siyo kuwahadaa watu ama kama hujui ama huna uhakika usiwe unaandika. FIU sio TISS ila kunaweza kuwa na baadhi yao waliopenyezwa kwa ajili ya mission walizotumwa, wapo watumishi wengi tu wa FIU ambao wameajiriwa na Sekretarieti ya Ajira. Hii ni sawa na useme watumishi wote waliopo Ikulu ni TISS wakati hata wa kawaida wanaoajiriwa au kuhamishiwa kutoka Taasisi nyingine za Kiserikali wapo pia.
Ulipozidisha chai ni hapo uliposema eti Branch Managers wa Mabenki wote ni TISS, My wife ni one of BM kwenye hizi two giants Banks na siyo mtu wa TISS na wala hawajui.
Watu wengi sana wanaishi kwa dhana za kuandika wanayoyawaza kwamba ni kweli na kuyaandika kumbe siyo kweli na yanatokana na hisia potofu tu.
Watu wanadangwanya sana hapa JF na wanakubali tu. Kukaa na watu hao na kufahamiana nao haikupi audacity ya kuifahamu kiundani hiyo Taasisi na kuja kuongopa huku.
Kauthibitisho mkuu itapendezaKuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Ka ClipNyerere alisema UVCCM ni usalama wa Taifa 😃😃😃
Going far bro, mama wa mwenzio anaingiaje hapa, respect is not a rewards bro, control your emotional intelligence!........kama mama yako
Shida ni kwamba hao watu Huwa ni viburi na ngumu sana kuwatimua wakivurunda hasa Kwa Nchi zetu hizi za kisanii.Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Acha waanikane tuu, maana saiv wako bize kuwaggawa watz kisa itikad za kisiasa.Ukishakuwa publick figure tayari uko exposed. Including your background.
TISS should limit watu wake kwenye nafasi kama hizo maana watakuwa exposed kutokana na nature ya siasa na hizo nafasi