Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Kuna viongozi wengi ni Usalama wa Taifa!?

Idara yetu ni nzuri ila iko chinni ya political figure(Rais), ili ifanye kazi iwe independent authority, na bunge lisaidie hiki kitu lisiwe kile la ndioooooo, sioooo. Kuna mambo yako ki nchi zaidi ya kisiasa au uchama jambo hili linafanya watu wazuri wa Idara kuingia mtego wa kuwa wanasiasa na kulamba miguu ya wajumbe. Waanakusanya taarifa wanazichakata na kuziwasilisha kwa maamuzi wa wana siasa ambao maslahi yao yakiguswa na taarifa hizo wanatupilia mbali. Wapo wanasiasa hawastahili kuwa viongozi kabisa lakini kwa sababu zisizoelewekawameendelea kuwa viongozi. Idara ikiwa safi ye ye vetting ya kizalendo sio kikanda, kichama wala kujuana itakuwa na watu safi wenye kujali maslahi ya nchi mioyoni kwanza na sio siasa au ukanda na kujuana.
Nchi kwanza .Nchi kwanza

Sio nzuri. Kuteka wapinzani nankuiba kura huko Congo kwenye mslahi hawapo
 
Sio CCM tuu, na wala sio viongozi tuu, naisaidia nchi, na usikute nawasaidia Wapinzani kuliko hata CCM!.

No one is perfect!

Asante, mimi niko real, pale Chato ni chimbo langu kwasababu kiukweli napenda kula vitu vizuri, ile kitu ya wale jamaa, iko vizuri, ila mimi sio tuu napenda kula kula, pia napenda kula vyote!. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
P
Hapo umeliweka vyema, kwamba no one is perfect. Ushauri wangu kwako jaribu kufanya utafiti zaidi katika baadhi ya masuala unayoyawasilisha humu. 🤝
 
Back
Top Bottom