Ndugu tumia elimu yako vizuri na siyo kuwahadaa watu ama kama hujui ama huna uhakika usiwe unaandika.
Kiukweli mimi najihesabu ninaitumia elimu yangu vizuri, kuna baadhi ya mambo ninayoandika humu, wahusika wanayapima if it makes sense wanachukua hatua, mfano mzuri ni kile kilichofanyika kwenye mkutano mkuu wa CCM, nikaandika mapungufu ya kisheria, nikashauri the best way foward, CCM wamesoma, sasa watafanya mkutano mkuu mwingine mwezi May na kurekebisha makosa. Hivyo nasaidia sana, JPM nimemsaidia sana, na sasa Rais Samia, namsaidia sana, na kulisaidia taifa na wananchi.
You are wrong!, kitengo chochote kinachofanya issues zozote za kiinteligensia kikiwa idara yoyote, ni tiss, hata MI ya jeshi ni tiss!.
ila kunaweza kuwa na baadhi yao waliopenyezwa kwa ajili ya mission walizotumwa,
Sio kunaweza, ni wapo na hiyo ndio shughuli yao hapo FIU
wapo watumishi wengi tu wa FIU ambao wameajiriwa na Sekretarieti ya Ajira.
Duh...!, kwani ndio nini?, wewe hujui hiyo secretariat ni ma tiss?, ma tiss kibao wanaajiriwa popote hata kwa baresa!.
Hii ni sawa na useme watumishi wote waliopo Ikulu ni TISS wakati hata wa kawaida wanaoajiriwa au kuhamishiwa kutoka Taasisi nyingine za Kiserikali wapo pia.
Ukiisha ingia ikulu, hata kama ni mzibua vyoo, ni Tiss!.
Ulipozidisha chai ni hapo uliposema eti Branch Managers wa Mabenki wote ni TISS, My wife ni one of BM kwenye hizi two giants Banks na siyo mtu wa TISS na wala hawajui.
Pole sana!, wewe ndio hujui, siku ukijua, utanishukuru!. Kama unajidhania, unamjua saana mkoe, think twice, kuna mtu hadi anaolewa na its assignment!.
Watu wengi sana wanaishi kwa dhana za kuandika wanayoyawaza kwamba ni kweli na kuyaandika kumbe siyo kweli na yanatokana na hisia potofu tu.
Sawa, nakubaliana na wewe!.
Watu wanadangwanya sana hapa JF na wanakubali tu. Kukaa na watu hao na kufahamiana nao haikupi audacity ya kuifahamu kiundani hiyo Taasisi na kuja kuongopa huku.
Duh....!.
Mkuu, Naomba kujua Kuna wabunge na madiwan nawafahamu walipitia usalama wa taifa kabla hawajawa viongozi wa majimbo hii leo, Ile kazi yao wanaiacha kabsa au wanaendelea kuwa na ubunge pamoja usalama
Kama ni ma ofisa, hawaachi mpaka 6x6!, japo wakifika umri wa kustaafu, wanahamishiwa eneo la their place of domicile.
Wanastaafu ila wanaendelea na kazi na kuhudumiwa mpaka siku ya siku!.
Kama ni informers, wakimaliza assignment, inakuwa imeisha!
P