Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Yule mzee wa mafuliko?Kuna kiongozi mmoja wa dini mwenyeji wa Kanda ya juu kusini anapotokea malkia wa jumba la watunga sheria nae ni mmoja wapo.
Tanzania badala ya uzalendo usalama sasa ni uchawa. Yaani usalama ni CCM sio TanzaniaIlitakiwa kila mtanzania aishi kama Israel na north Korea. Akifika darasa la tatu anaanza rasmi mafunzo ya mtaala wa kijeshi na uzalendo kwa kuilinda nchi yake. Sijawahi kusikia muisrael msaliti kwa nchi yake. Usalama wa Israel unawahusu waebrania wote. Ipende nchi, itumikie na kuilinda.
Usalama wa taifa nchi hii sijui huwa nawachukuliaje na kwa vitendo vyao vya kuteka na kuua raia wasio na hata runguKuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Inawezekana kwani nae ni MWA?Yule mzee wa mafuliko?
You can't be serious chalamila naye ni TISSWakuu wa wilaya
Wakuu wa mikoa
Mabalozi
Viongozi wa vyama vya upinzani...
...na wengineo mara nyingi huwa ni TISS. Zamani walikuwa wanaandaliwa vizuri hawatambuliki ila hawa wa sasa mkiwa baa tu mkazinguana anatoa pistol na kuanza kuropoka...
Hata humu JF nawafahamu kwa asilimia 100 mabinti watatu na bro mmoja (siyo Pasikali)...😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️
ccm ndio taifa lenyeweUsalama wa CCM hakuna cha Taifa.
Duh...!.Hata TAL ni usalama wa Taifa
Duh...!.Hata hii jf ni uswalaamaaa wa twaifaaa
So what?? What impacts does he posses in your life?? and tanzanian at large??Kuna viongozi wengi sana ambao ni usalama wa taifa. Mmoja ambaye nina uhakika naye kwa 💯 ni Professor Mkumbo ambaye ni waziri kwa sasa. Miaka yote hata kabla ya kuingia Chadema alikuwa usalama wa taifa.
Huyu jamaa ndie the most impactiful minister kwenye cabinet ya Samia, ndiye the brain behind Dira ya Taifa 2550!.So
So what?? What impacts does he posses in your life?? and tanzanian at large??
Aisee!Huyu jamaa ndie the most impactiful minister kwenye cabinet ya Samia, ndiye the brain behind Dira ya Taifa 2550!.
This is a very big thing!.
P
TID kigogo warioba Top in dar ni Tiss?Here we don't mention names - TID
kwamba TAL ni usalama wa Taifa nilifikiri sana huenda ni mtu wa system huyu mwamba!Hata TAL ni usalama wa Taifa
hawa wanamuziki tusiwachukulie poa huenda wengi wao ni TISS, unakuta mwanamuziki anaimbaimba ushenzi, mara wengine wanaimba injili kumbe ni TISS. Naambiwa hata viongozi wa dini nisiwachukulie poa, wengi wao ni TISSTID kigogo warioba Top in dar ni Tiss?