Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

sawa mama muuza nyundo nitazingatia uyasemayo 😂
yasijenikuta kama ya MBOSSO-AMEPOTEA ngoja niage.
Dada Joannah mkiona sipatikani nipo kwa Lovie Lady 😀
Aaaah huyo nakupa baraka zooote,,,Tena Ukienda usirudi Mimi nitamwambia tu mzee home ,huyo kashuka juzi kutoka kwenye uapisho wa King Charles,,ukute Kuna kakipande alinyofoa kwenye kile kigari
Lovie Lady tafadhali Mtunze mziwanda wa mama yangu
 
acha nikapotelee kwake huenda akanifundisha na lugha ya malkia vyema kabisa🤗
 
Sababu nyingi ulizotoa chanzo ni wewe mteja kutojua haki zako. Haiwezekani mtu achukue hela yako halafu azungushe kukuhudumia halafu uendelee kumtazama.. kuwa kauzu kataa ujinga.
 
Tulikubaliana sisi wa daraja A tuwe tunafanya huduma-nafsi (self-service) supermarket na sehemu zinazoendana na hadhi husika? Kwa nini ujibanebane kwene dala2 wakati unamiliki chombo, tena namba E?

Ukitaka kuhudumiwa kama mfalme/malkia, malipo yako yawe ya kifalme na kimalkia. Tips kwa wingi, keep change, nk.

Niongeze volume, au? Niendelee, ama?
Umesheleweka kabisa mkuu [emoji4]
 
Back
Top Bottom