Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

sawa mama muuza nyundo nitazingatia uyasemayo 😂
yasijenikuta kama ya MBOSSO-AMEPOTEA ngoja niage.
Dada Joannah mkiona sipatikani nipo kwa Lovie Lady 😀
Aaaah huyo nakupa baraka zooote,,,Tena Ukienda usirudi Mimi nitamwambia tu mzee home ,huyo kashuka juzi kutoka kwenye uapisho wa King Charles,,ukute Kuna kakipande alinyofoa kwenye kile kigari
Lovie Lady tafadhali Mtunze mziwanda wa mama yangu
 
acha nikapotelee kwake huenda akanifundisha na lugha ya malkia vyema kabisa🤗
 
Sababu nyingi ulizotoa chanzo ni wewe mteja kutojua haki zako. Haiwezekani mtu achukue hela yako halafu azungushe kukuhudumia halafu uendelee kumtazama.. kuwa kauzu kataa ujinga.
 
Umesheleweka kabisa mkuu [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…