Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kwamba dutu fulani ikikauka, vijenzi au mtungiko wake wa kikemikali (chemical composition) nao hutoweka?hata ikikauka bado ina madhara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba dutu fulani ikikauka, vijenzi au mtungiko wake wa kikemikali (chemical composition) nao hutoweka?hata ikikauka bado ina madhara?
Aiseee biashara inachosha inafikia mahali kuna kauchovu fulani huwa kanajitokezasijakuelewa, hata sasa ninafanya biashara lakini pia ni mteja wa wafanyabiashara wengine
inachosha zaidi kila siku uko pale pale haikui na gharama za uendeshaji zinazidi kupanda. Biashara sio kwa kila mtu zinahitaji uwe mvumilivu na mwenye nidhamu ya fedha kweli kweli.Aiseee biashara inachosha inafikia mahali kuna kauchovu fulani huwa kanajitokeza
ndio nahitaji kufahamu mkuu sina elimu hiyo kwa wenye uelewa na hilo naomba mnifahamisheKwamba dutu fulani ikikauka, vijenzi au mtungiko wake wa kikemikali (chemical composition) nao hutoweka?
Aiseee biashara inachosha inafikia mahali kuna kauchovu fulani huwa kanajitokeza
Biashara ni sanaa, taaluma na sayansi kwa pamoja. Ni fani inayojitegemea yenyewe. Ni sehemu ya maisha yetu isiyokwepeka.inachosha zaidi kila siku uko pale pale haikui na gharama za uendeshaji zinazidi kupanda. Biashara sio kwa kila mtu zinahitaji uwe mvumilivu na mwenye nidhamu ya fedha kweli kweli.
Mkuu, ni almost kusema kwamba ukiigandisha sumu, then ukailamba haufi.ndio nahitaji kufahamu mkuu sina elimu hiyo kwa wenye uelewa na hilo naomba mnifahamishe