Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

Aiseee biashara inachosha inafikia mahali kuna kauchovu fulani huwa kanajitokeza
inachosha zaidi kila siku uko pale pale haikui na gharama za uendeshaji zinazidi kupanda. Biashara sio kwa kila mtu zinahitaji uwe mvumilivu na mwenye nidhamu ya fedha kweli kweli.
 
Aiseee biashara inachosha inafikia mahali kuna kauchovu fulani huwa kanajitokeza
inachosha zaidi kila siku uko pale pale haikui na gharama za uendeshaji zinazidi kupanda. Biashara sio kwa kila mtu zinahitaji uwe mvumilivu na mwenye nidhamu ya fedha kweli kweli.
Biashara ni sanaa, taaluma na sayansi kwa pamoja. Ni fani inayojitegemea yenyewe. Ni sehemu ya maisha yetu isiyokwepeka.

Mtu asiyeweza kufanya biashara, kimsingi hapo maisha yamemshinda tayari. Ukichushwa (kuwa bored, kupoteza real, enthusiastic business energy ama stamina) kwenye biashara yako, it means huna malengo bora ya maisha, kwa sababu malengo makini humfanya mtu awe lively, winsome, na optimistic wakati wote.

NB: 1. Hapa sizungumzii kuchoka bali kuchushwa (kupoteza interest, hamasa, shauku ya kuendelea kufanya biashara yako).

Mtu anayeipenda biashara yake aliyoi-plan vilivyo, hata akichoka, asubuhi yake ataamka akiwa na nguvu mpya huku akijisikia yuko fresh tayari kuruka, afike ofisini kwake kwa wakati na kuifanya biashara yake kwa ubora kuliko jana.

2. Hata kama biashara inaweza kuyumba fulani (and it happens to all business people), bado mfanyabiashara anaweza kuwa na hamasa halisi ya kujitathmini, kufanya mabadiliko husika na kusonga mbele kwa ufanisi zaidi.

3. Mfanyabiashara wa namna hii anawapenda wateja wake, nao pia wanampenda yeye. Kwa nini, kwa mantiki hiyo, usifanikiwe sasa, hata kama biashara yako imepakana kabisa na ngome kuu ya Iblis Bin Shetan ?
 
Kuna migahawa mingi Tanzania hii unaweza ukaingia ukakaa nusu saa hakuna anayekuuliza chochote na ukaongoka zako hakuna anayejali [emoji276]wafanyabiasha tubadilike japo pia kuna wateja changamoto kweli kweli
 
Mteja sio mfalme hii kauli ya mteja ni mfalme ni ya kipumbavu kikubwa Kila mtu atimize wajibu wake.

Mimi mtoa huduma Wajibu wangu ni kumkaribisha mteja na kumpa huduma anayo ihitaji.

Mfano hapo pichani kaja mdada ni mteja wangu anatoa pesa kaja akula mua.

Kafika kanambia motolee hela harala Nina wahi huku anatafuna mua wake na kunikabidhi simu mm nikamuhudumia chap chap kaondoka kaacha maganda ya miwa yake na mamichuzi ya miwa mezani wanapo andikia namba wateja mpka mkaka Alie kua nae akasema huyu dada si mstaaarabu.

Katoka mbele ya ofisi yangu kakutan na best ake akapotez karibu dk 10 wanapiga story.
IMG_20230512_165852_1.jpg


Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom