Kuna wabaya wa Simba wapo nyuma ya Mangungu?

Mo akisema ana sajiri haonekani tatizo ila Mangungu anaonekana mbaya swali la kujiuliza mapato ya Simba yanaigia kwenye account ipi? Na hua ana andamwa ajihuzuru kwa kosa gani?
 
Mo akisema ana sajiri haonekani tatizo ila Mangungu anaonekana mbaya swali la kujiuliza mapato ya Simba yanaigia kwenye account ipi? Na hua ana andamwa ajihuzuru kwa kosa gani?
Mshaanza kupata tumbo joto kusikia Mp amerudi?

Ukishaona mashabiki wengi wa Yanga hawamtaki MO ujue hapo ndio mafanikio ya Simba yalipo.

Ili Simba ifanikiwe MO inabidi aendelee kuwepo pale
 
Na kipigo cha Mashujaa kilikuwa hujuma kutoka upande upi?
Ngungus Boy shikilia hapo hapo sababu unaongoza mbumbumbu wasiojitambua.
 
Mshaanza kupata tumbo joto kusikia Mp amerudi?

Ukishaona mashabiki wengi wa Yanga hawamtaki MO ujue hapo ndio mafanikio ya Simba yalipo.

Ili Simba ifanikiwe MO inabidi aendelee kuwepo pale
Kwani alienda wapi labda na ni lini alijiondoa 5imba?
Tupo hapa tunasubiri msimu ujao uanze halafu tuone huyo Gabachori ataifanya nini Yanga.
 
Mshaanza kupata tumbo joto kusikia Mp amerudi?

Ukishaona mashabiki wengi wa Yanga hawamtaki MO ujue hapo ndio mafanikio ya Simba yalipo.

Ili Simba ifanikiwe MO inabidi aendelee kuwepo pale
Kwani huyo alikuwa wapi?
Yanga ndo walimtoa.
Yan mo awepo asiwepo mtapigwa 8
Wacha league ianze
 
Huu ni mtazamo wangu pia. Kuna siri nzito
 
Kwa mfumo wa simba ulipofikia kwa maana ya mchakato Mo anatakiwa kushirikiana na Mangungu zaidi kuliko hata huyo try again, Kiwalisia Mangungu ndiyo Boss ila hana hela, Mo ana hela ila sio Boss anatumia influence ya fedha kujiona yeye ndiyo top.
 
Hii dun
Na kipigo cha Mashujaa kilikuwa hujuma kutoka upande upi?
Ngungus Boy shikilia hapo hapo sababu unaongoza mbumbumbu wasiojitambua.
Najua unajua mpira vizuri sana lakini umeamua kujito tu ufahamu kwa makusudi. Simba kufungwa na Yanga au hata Mashujaa si jambo la ajabu. Lakini kupigwa kile kipigo cha mbwa koko a.k.a kono la nyani halafu Cadena anakuja sema kulikuwa na shinikizo apangwe Manula ambaye alikuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kwa majeruhi wewe huoni hapo kuwa kilikuwa kuna usaliti wa ndani ya Simba.
 
Kama hayo maneno ni kweli kayatamka kweli basi hili wiki hamalizi akiwa mwenyekiti.
Ataendelea kuwa mwenyekiti wa Simba kwa mujibu wa katiba ya Simba, mlimchagua aongoze kwa miaka 4 na ubwabwa mlikula akawaletea manzoki yeye na Mo mkampa kura kiroho Safi Sasa mnabwata kitu Gani? Msubili miaka 4 ipite ndio atatoka na sio vinginevyo
 
Kwaiyo aliyempangia cadena kipa ni mangungu? Kwanini asiwe Mo?
 
Mlizidiwa shekhe acha kujitoa ufahamu
 
Mbona unajitoa akili! Ina maana hujui kuwa Mangungu ni mwenuekiti wa Simba SC? Mangungu anatumia nafasi yake kufanya maamuzi ya wanachama waliomchagua. Kama unampenda huyo Mo, mchukue ukanywe naye chai.
 
Kwani alienda wapi labda na ni lini alijiondoa 5imba?
Tupo hapa tunasubiri msimu ujao uanze halafu tuone huyo Gabachori ataifanya nini Yanga.
Karudi kwenye nafasi yake na amepitisha fagio katimua mamluki wenu mliyokuwa mmewapandikiza.

Na ndio maana mmekasirika na bado upande wa Kipara nako si muda watatupa taulo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…