Kuna wadada wengine sijui wakoje! Huyu nimeshindwa kuelewa nimfanye nini

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.

Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.

Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
 
huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho. then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. so we went there. akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari... sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.

nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa.... kumbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.

huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini. maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize... au niende kwake tukaongee.. nami sioni cha kwenda kuongea naye. na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Simple akulipe wewe na mwenye hiyo gari nyingine
 
siku nyingne baadala ya kumnunulia kuku na vibnywaji, hiyo hela jazia mafuta, tafuta uwanja ulio open nenda mpe gari atembeshe weee kuzunguka raund za kutosha ata enjy sana kuliko kumnunulia kuku na ndio utampata kirahis.....
 
Mhhh kujifanya fundi kweny vitu vya watu... Msamee tu atakua kajifunza

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
ana agari yake si kwamba hana gari.
 
Mhhh kujifanya fundi kweny vitu vya watu... Msamee tu atakua kajifunza

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
amenikwaza sana................ halafu hata si kwamba tuna naniii.....wala. urafiki tu ule akiwa so bored ananitafuta n.k sasa naona kama anataka niingiza kwenye mahusiano ambayo nayakwepa kwake.
 
Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.

Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.

Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Tehtehtehteh . Mwenzio anataka kukupa papuch ili ngoma iwe droo
 
Sasa kuna ntu alikua anafundishwa gar ikafika siku ya kukaa peke yake kwenyr usukani.. si akavamia mnazi... Aliua hafi rejeta maanina feni.. yan had pipe za Ac.. halaf alikua demu wake mwana sasa.. tehtehh wanawake aisee
 
Hivi ni mimi tu humu JF ndio sina gari au kuna wenzangu?
Namimi sina niliuza lilishnda,japo kwa sasa nataman uwezo sasa hamna,tena alivosema majaliwa kununua gari nilakuanzi mwaka 2010 sijui kama tanunua.
 
Back
Top Bottom