The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Hivi ni mimi tu humu JF ndio sina gari au kuna wenzangu?
Tupo wengi tu mkuu. Uzuri JF unawezakuwa chochote muda wowote, ni vile tu unavyotaka uwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni mimi tu humu JF ndio sina gari au kuna wenzangu?
Mzeya huyo anataka kukutunuku mbususu acha ujinga mkubalie aje kwako japo upoze machungu kwa kuisasambua mbususuHuyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.
Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.
Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Ndio hivyo...na kama alivyosemaga mupenzi wangu mmmoja wa jf...mbususu haisuswi kakaTehtehtehteh . Mwenzio anataka kukupa papuch ili ngoma iwe droo
Kabisa yan. Ukijidai kuendekeza genye utaishia kulia kila siku na kuwaita binadamu wabaya japo ni wabaya kwelYes,subira yavuta kheri
Sure yaanKabisa yan. Ukijidai kuendekeza genye utaishia kulia kila siku na kuwaita binadamu wabaya japo ni wabaya kwel
Duh pole piga kimya tu.... Siku nyingine hata usijisumbue kabisa kumbeba kweny ndinga Akoamenikwaza sana................ halafu hata si kwamba tuna naniii.....wala. urafiki tu ule akiwa so bored ananitafuta n.k sasa naona kama anataka niingiza kwenye mahusiano ambayo nayakwepa kwake.
Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.
Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.
Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Mwambie alipie gharama ndo msamaha.Unamuogopa kwani? Yeye si ndo muhusika!Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.
Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.
Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Mnyonye mkundHuyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.
Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.
Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Na papuchi aile hasaaMuoane muyamalize? Duh!
haa haa haaa nimecheka sana,huyu chizi maarifa ndio wale wanaovaaga viatu vikubwa huku wamebeba begi na mkononi wanamavitabu eeeh??Kweli we chizi maarifa
Mimi na wewe damu damu sweetheartMe na wewe tena